Kariakoo imeanza kurudi Kwenye ubora wake wa kuwa Kituo Cha Kimataifa Cha Biashara..
MKOA wa kikodi wa Kariakoo umevunja rekodi kwa kukusanya Sh bilioni 40.8 sawa na asilimia 102 kwa mwaka wa...
Najribu kufanya Malipo kupitia PAYPAL lakini naona kama kuna shida ambayo siielewi.
Je kuna mwingine ambaye anapata shida kwenye kulipa kwa kutumia Paypal?
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI KATIKA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI BIASHARA KATI YA CHINA & AFRIKA AMBALO LIMEFANYIKA NCHINI CHINA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu K. Kijaji...
Habari ya wikiendi wadau!!!!!,Kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine,walitumia akili ya kuzaliwa kutatua tatizo la ukosefu wa pesa na saivi maisha yako vizuri,mfano inaweza kuwa kutokana na...
Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida kabisa lakini sikuwahi waza hata siku 1 nitakuja kuwa mfanyabiashara
Ninachojua mimi ndoto zangu ni kuwa Pilot au Hacker (IT MZURI KABISA) ila ktk ndoto zote...
Habari, nakuja tena kukutaarifu kua, application ya Stock manager & sales register imefanyiwa marekebisho ya muonekano wake, na kuwa wa mvuto zaidi. (linki ya application kwenye playstore)
Lengu...
Habari za Leo ndugu zangu, vijana wenzangu? Natumaini Mungu anaendelea kutupigania katika mapito yetu ya kila siku.
Nimekaa natafakari sana Hili wazo: Kwamba Kwa umoja wetu, kupitia mikakati...
UTATOFAUTISHAJE ASALI MBICHI NA ILIYOCHEMSHWA?
Unaponunua asali, ni muhimu kutofautisha asali mbichi na iliyochemshwa. Kwa tulio wengi, hii ni kazi ngumu. Hivyo tunasikiliza analosema muuzaji...
Happy new year everyone.
Kutokana na budget yangu sitakidhi kodi na vilemba ya k.koo.
Ila bado budget yangu inakidhi kufunga mzigo nje ya nchi na kufungua duka lililo sheheni bidhaa nyingi na...
Salaam wana JF,
Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano...
Je wewe ni mkulima wa miwa na huna soko lenye tija la kuuza miwa yako. Njoo nikuunganishe na soko la uhakika na lenye faida... Utasimamia mwenyewe hatua zote kuanzia shamba hadi sokoni.
Email...
Nauza iPad hiyo hapo,jipangie bei. Alikuwa anatumia demu Canada,nikazinguana naye nikarudi nayo Dar,so password kipengele..
Kama upo serious nicheck 0717281088 au 0625697394
Nipo Kigamboni,Dar...
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hapa Tanzania hasa USD ambayo ndio hutumika sana kwa malipo kwa biashara za kimataifa.
Pamoja na kupanda kwa dola na kushuka kwa shilingi kutoka 2375...
Ndugu wadau mimi niko Daresalaam nina mtaji wa laki 5 tu..na sio mzoefu wa biashara kabisa ndugu naombeni mawazo, staki kukurupukia biashara naomba mawazo kwa uzoefu wenu ndugu wadau nifanye...
Power to the People Wanajamvi!!!
Kama umekuwa ukifuatilia mwenendo wa SARAFU yetu pendwa ya TZS kuanzia mwezi wa 5, utagundua kwamba imeporomoka sana kwenye soko la ubadilishaji wa fedha za...
Wanasalimu kwa jina la Jamuhuri,
Naomba kuuliza kuna changamoto gani katika kusafirisha mazao kutokea Rukwa kwenda Dar ambapo mtu unakuwa na mzigo mdogo kama gunia 3 na sio kuzaja gari?
Habari wakubwa........
Naomba msaada wa maelekezo ya kozi ya Marketing in tourism and events management .je iko vizuri kuisomea kuliko kusoma Business administration
Wadau mimi nina kiasi cha 3m nafikilia kufanya biashara ambayo itakua na tija na kuleta faida ,nahitaji ushauli wenu ni biashara gani nzur ya kufanya nipo Dar es Salaam.