Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mimi kijana naitaji kufungua workshop ya welding kwa ajili ya kuchomea na kutengeneza vitu vya chuma NAOMBENI kujua Bei za machine na changamoto ya hii biashara
3 Reactions
18 Replies
2K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WANA JF Wana JF wataalamu wa biashara na wale walioshawahi kuifanya biashara ya mashine ya kusaga naomba mnijuze inalipa?au itakua ni kupaka hewa rangi? Na...
1 Reactions
163 Replies
124K Views
Bei za soda kila mfanyabiashara anauza kwa bei yake anayoijua yeye. Kulikoni?
2 Reactions
10 Replies
755 Views
Wakuu, habari ya Jumapili. Hope wote mpo vizuri. Kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, poleni, Mungu awe pamoja nanyi katika kipindi hiki. Kama ada, imekuwa ni utamaduni wa ku-share kile...
9 Reactions
18 Replies
15K Views
Wakuu najiuliza zile chupa za jamii ya Altar wines, Dompo n.k hakuna mahali au viwanda vinavyotengeneza havizihitaji tena kufungashia kama wanavofanya viwanda vya soda!??? [emoji15] Zimejaa mtaani...
0 Reactions
2 Replies
399 Views
Habar wakuu wachina wa SGR weonyesha Nia yakufanya kazi na mim yakusupply then malipo utaratibu wao nibaada ya mwezi yaani unasupply Leo tar1 June tar 30 June Kisha malipo Yako yataanza kufanyiwa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Huu MKOA unafaa kwa mambo ya biashara na kuishi watu wa huku siyo legelege kama watu wa dar na mikoa mingine. kauli mbiu ya GEITA ni "KARIBU GEITA na UTEMBEE KWA UKAKAMAVU".
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Orodha ya nchi zilizo na hifadhi ya mafuta iliyothibitishwa Akiba ya mafuta iliyothibitishwa ni zile kiasi cha mafuta ya petroli ambayo, kwa uchanganuzi wa data ya kijiolojia na uhandisi, inaweza...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari za Majukumu, naomba kujuzwa bei za mahindi na mpunga Kwa gunia la debe Saba hasa kipindi hiki cha mavuno katika eneo ulilopo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji wa Serikali ya Zambia Mhe. Frank Tayali ameipongeza Serikali ya Tanzania na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania-TPA kwa maboresho makubwa ya kimiundombinu...
1 Reactions
0 Replies
833 Views
Kwa wale wenye biashara za maduka madogo na kati, sasa unaweka kutunza kumbukumbu za mauzo na bidhaa za duka lako kirahisi. "Stock manager & Sales register" ni application ambayo ni ya bure...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Nina kampuni yangu(Co ownership) ambayo officially imesajiliwa BRELA, kwakuwa kampuni bado changa nami pia bado ni underdog ktk mifumo ya uendeshaji wa kampuni na namna bora ya kufuata ili kupata...
3 Reactions
61 Replies
4K Views
Hello Members  WHAT IS A BUSINESS IDEA? A business idea is a concept that can be used to make money. Usually it centers on a product or service that can be offered for money. An idea is the...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Watumiaji wa bangi nchini Tanzania wameibuka na mbinu mpya ya kuchanganya kilevi hicho na vyakula mbalimbali kama vile majani ya chai, keki, biskuti, juisi pamoja na asali. Kutokana na hilo...
2 Reactions
81 Replies
5K Views
Kama kichwa kinavyosema waku nilijisajili online TIN NAMBA ila siku ipakuwa ssa nimesahau namba zake na ninataka kuanza kuitumia ila nimesahu msaada wenu wakuuu maaana niko nje sana kwenda hadi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana jf naomba muongozo na ushauri wa kuanzisha biashara ya vitabu, vitabu hivi ni vile vya masomo vinavyotumiwa na vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, naomba ushauri kwenye: Mtaji...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Afisa Mkuu wa Kampuni ya Tigo Kitengo cha TIGOPESA Angelica Pesha (wapilikulia), akishikana mikono na Meneja wa kampuni ya Uber ukanda wa afrika mashariki Imran Mnji wakati wa hafla ya kutangaza...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Habari Wakuu, Naomba kujua nitapata wapi Madini Haya kwajili ya Ununuzi. spinal sapphire aquamarine tourmaline Tafadhali Watanzania wenzangu tusaidiane tusifanyiane choyo.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana JF, Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P. Turudi kwenye mada. Je! dola...
16 Reactions
327 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…