Interview ilipoanza imetunyima kupata taarifa Binafsi za Mh. Sumaye.
Hatukuijua familia yake, pia Masoud alikurupuka sana na kuanza kuuliza maswali ya juu kabla ya kumfahamu kutoka chini...
Ni watu ambao kwa kipindi hicho walitupa hamasa na tukaona watafika mbali sana kwenye ujasiriamali lakini mambo ymekuwa ndivyo sivyo kwa wengi hasa wakivuka 30
Patrick Ngowi - Alikuwa na kampuni...
Wakuu humu JF ningependa hufahamu zaidi kuhusu hii kitu
1. Vigezo vya kupata mkopo
2. Naskia inabidi iwe kwenye kundi, je ni kundi la watu wangapi?
3. Je ni mkopo kiasi gani huwa wanatoa...
NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE - SERIKALI INAANGALIA FURSA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUWEKEZA KATIKA KATA
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema Serikali inaendelea...
Wakuu habari ya muda huu, naombeni ushauri juu ya haya maeneo.nimepata viwanja viwili pande zote mbili vipo sawa kwa vipimo yani 30*40 na bei kote ni 6m cha kiluvya kipo kwa komba na chanika kipo...
Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako
Kupata jina sahihi la biashara ni hatua muhimu katika kujenga kitambulisho chako cha biashara na kuwasiliana na wateja wako. Hapa kuna njia bora...
Habari wana JF,
Naomba nijuzwe namna ya kununua hisa za makampuni ya nje ya nchi
Mfano:- Amazon, Apple, Tesla na mengine mengi
Njia za kununua au wapi naweza kupata taarifa sahihi zaidi...
Lengo ni msingi muhimu katika kufikia malengo yetu. Bila lengo, ni vigumu sana kuamua hatua za kuchukua na njia ya kufuata ili kufikia mafanikio. Lengo linatupa mwelekeo na jinsi ya kushirikisha...
Wakuu nauliza nauli ya kwenda china kwa Sasa ni dollar ngap go and return...na vip sasa hivi ni mpaka uwe uchanjwa chanjo uvico19 ndo unaruhusiwa kuongia china
Wadau Nina fremu,nahitaji kuanzisha biashara ya duka la nguo,jinsi za kike na kiume,kadets,mashati,tishets,boxers,chupi na vinavyofanana na hivyo.....je Ni rangi ipi inafaa kwenye kupaka hiyo...
Miti ipo Suma Katumba Rungwe Mbeya. Leta hela jichukulie miti, ni minene inafaa kwa ujenzi wa aina yoyote. Ipo barabarani kabisa ukifika Suma Secondary ni hapohapo barabarani shamba lilipo. Kama...
Heri ya krismasi ndugu zangu
Nina shida na pos/mashine za uwakala wa bank NMB na CRDB.
Nimefuatilia bank sasa hivi hawatoi hizi mashine, wanaunganisha kwa njia ya simu na sehemu nilipo wengi wana...
KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC) CHAAGIZWA KUKAMILISHA DIRISHA LA KIELETRONIKI LA UWEKEZAJI (TeIW)
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameagiza Kituo Cha...
Wadau kama kichwa kinavo jieleza apo juu.Ivi ni mchongo gan mtu unaweza wekeza kwa kutumia knowledge tu.Na ukawa unakutengenezea pesa bila ata kuhitaji kias kingi cha pesa kama mtaji.Au pacwepo na...
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kwa tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani...
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - TANZANIA INAJIPANGA KUACHA KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI
SERIKALI imekutana na wadau wa kuzalisha Mafuta ya kupikia kwa ajili ya kujadili...
Habari wana jamvi
Poleni kwa shughuli nzito ya kujenga taifa
Naomba kujulishwa kuhusiana na mitumba kwa mnyumbuliko huu
Baro la mashati grade 1: a)bei
b)kg
c)piece zinakaa ngapi/
yaani...