Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

MHE. CHARLES MWIJAGE AIONYESHA SERIKALI MBINU YA KULINDA VIWANDA Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini, Mhe. Charles John Poul Mwijage Akizungumza Bungeni wakati akichangia hoja kwenye bajeti ya...
0 Reactions
1 Replies
651 Views
MHE. DUNSTAN KITANDULA - TARATIBU ZIFUATWE TWIGA CEMENT KUINUNUA TANGA CEMENT Mbunge wa Jimbo la Mkinga, Tanga, Mhe. Dunstan Luka Kitandula wakati anachangia hoja ya bajeti ya Wizara ya...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
MHE. TIMOTHE MNZAVA - MCHAKATO WA TWIGA CEMENT KUINUNUA TANGA CEMENT UWEKWE WAZI KUONDOA MALALAMIKO Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mhe. Timotheo Paul Mnzava leo Bungeni wakati akichangia...
1 Reactions
1 Replies
730 Views
Kutokana na kutembea sana humu JF nimekutana na baadhi ya member wakiuliza njia za kutumia ili waweze kulinda mawazo yao ya biashara mimi kama member mwenzenu nilikuwa katika sintofahamu hiyo...
18 Reactions
35 Replies
7K Views
BAJETI YA WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb,) amesema ndani ya mwaka mmoja, mifuko na...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Nyie LATRA na TABOA RATIBA zenu za mabasi zinamnufaisha nani. Wananchi hawanufaiki na hawana pa kusemea. TABOA ni chama cha wamiliki wa mabasi sio wasafiri. Mnaanzisha ratiba za mabasi saa 9...
1 Reactions
7 Replies
667 Views
Karibu wadau wote kwa alie kuwa na muda tayari wa kuweza kuwekeza kwenye sekta ya uvivu na wakaribisha kigamboni, mjimwema Kila kitu kuanzia mtumbwi unavo anza kutengenezwa mpaka kukamilika...
0 Reactions
2 Replies
360 Views
Bila shaka mko njema wakuu Kwa hapa Dar wapi wanafungua mabelo yenye nguo kali grade one Nahitaji za kupoint nikauze mtaani Naimani hapa kuna wazoefu wa hizi kazi Naombeni msaada wenu kwa hili...
0 Reactions
1 Replies
495 Views
Habarini wakuu, Nina swali zito naombeni majibu yake. Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116. Je, ni mradi gani...
18 Reactions
257 Replies
14K Views
Habari za mida hii wanajamvi. Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu ni wapi na weza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe. bei iwe ya jumla ya shambani na pia gharama za usafiri zimekaaje? Kwa...
1 Reactions
0 Replies
503 Views
Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo. Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani. Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa...
1 Reactions
6 Replies
748 Views
MHE. SUBIRA MGALU ATOA ELIMU YA MLIPAKODI CHALIZNE MKOA WA PWANI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ambaye ni Balozi wa kuhamasisha kulipa kodi tarehe 2 Mei, 2023...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Katika kujitafutia ridhiki watu hufanya kazi mbalimbali za kuajiriwa au kujiajiri, za kutumia taaluma, ubunifu na ujuzi wa nguvu zao walizojaaliwa na Muumba lengo likiwa kupata kipato kwa aliji ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna katabia ambako huenda viongozi wa Simba na Yanga wananufaika wao binafsu nyuma ya Pazia. Iko hivi... toka Mwaka jana Clouds wamekua na tabia ya kukampenisha matangazo yao ya Bahati nasibu ya...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
RAIS DKT. MWINYI APANDISHA PENSHENI KWA WASTAAFU NA WAZEE ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itapandisha pensheni kwa wastaafu...
0 Reactions
1 Replies
509 Views
Baadhi ya Tuzo zilizotolewa zinafikirisha, kwa mfano mkurugenzi anapokeaje tuzo ilihali katika taasisi anayoiongoza ina watu zaidi ya 100 ambao wao ndio wanaofanya kazi kwa kutaabika kumenyeka...
1 Reactions
8 Replies
556 Views
Aisee maisha yalinipiga wadau miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa Dar kwa kipindi kirefu hela nilikuwa nashika lakini ni Kama nawatafutia watu. Kodi ya nyumba, nauli za daladala kila siku, kifungua...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hello JF, ni muda umepita toka niandike kitu chochote humu, na kwa leo, since I feel like writing, nimeona niandike kuhusu kitu kinachoitwa Lead Generation; Skillset muhimu ambayo itabidi uwe nayo...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Pendekezo la Mradi yaani "Grant/Business Proposal" ni andiko linaloonyesha hitaji (need), fursa (opportunity), au tatizo (problem) lenye kuhitaji kuchuliwa hatua. Mmiliki wa tatizo, fursa au...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mamlaka ya Mapato TRA imesema itaendesha msako mkali kwa wote wanaouza na kununua bidhaa bila kuwa na risiti. Msako utaanza rasmi tarehe 01/02/2022. Mjulishe na mwenzako kama nilivyowajulisha...
7 Reactions
69 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…