Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ndugu habari za majukumu naomba anaefaham juu ya soko husika la bei za ngozi ya ng’ombe pamoja na pembe zake soko linapatikana wapi lakini pia nahitaji kufahamu kiundani zaidi kuhusu hii biashara
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako akimkaidhi tuzo Mkuu wa kitengo cha Ulinzi, Usalama na Mwendelezo wa Biashara wa Benki ya CRDB...
1 Reactions
6 Replies
998 Views
Naombeni msaada kidogo tafadhali; ningependa kufahamu mtaji wa chini wa kuanzisha duka la vitambaa vya kushona nguo.
0 Reactions
2 Replies
13K Views
Wadau, nina kampunga kama 220M, ni wapi naweza kafix kwa ziadi ya asilimia 15 per annum? Nimecheck; ~ UTT ni kati ya 12 hadi 14 ~ NMB 7 ~ CRDB 7 ~ Access bank 14.5 ~ Finca 14.5 Je, benki gani...
9 Reactions
47 Replies
7K Views
Ndugu zangu habarini naomba msaada Kwa ambao mshafanya kazi migodini Kuna kufaa kinatumika kuchimbia sehem ambayo ni ngum kinaitwa (Bamubamu) je ukiwa mlikii wa kufaa hiki faida zake ni nini na...
0 Reactions
4 Replies
776 Views
Habari wakuu,Niko mkoani Mbeya,naomba kwa yeyote mwenye connection ya biashara za mazao.Nina mtaji kiasi 2.5M.Niko tayari kushirikiana pia katika kufanya hiyo biashara.
0 Reactions
1 Replies
617 Views
MASACHE KASAKA - 40% YA MADINI YANATOKA KWA WACHIMBAJI WADOGO LAKINI MAISHA YAO HAYAAKISI WACHOKIZALISHA Mbunge wa Jimbo la Lupa tarehe 27 Aprili, 2023 akichangia bajeti ya Wizara ya Madini ya...
0 Reactions
3 Replies
637 Views
Fanya utafiti (Research) katika platform tofauti za freelancing au sehemu ya kuuza ujuzi wako (zipo zaidi ya 100) Uchague sehemu chache na Uzifanyie kazi. Mfano: Upwork, @fiverr, linkedIn...
4 Reactions
1 Replies
519 Views
Kutoka kwenye clip fupi ya mtanzania mwenzetu Bwana Saimon Sirikwa anayefanya kazi kwenye sector ya utalii nimejifunza mambo machache ambayo nadhani tunayapuuzia au hatutaoni japo ni muhimu...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu ,nahitaji till za mpesa hivi nikwel zinatoka kwa sasa? 0754350882
0 Reactions
4 Replies
520 Views
Thinkers, Do we grow this plant in Tanzania?
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za asubuhi na hongereni kwa majukumu ya utafutaji. Kumekuwa na mijadala mingi sana huu ya pesa mtandaoni. Na kuna baadhi wametoa shuhuda jinsi wanavofanikiwa kwa njia mbalimbali za...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Naomba kujua ABC's za kufungua workshop ya aluminium and glass work, pamoja na Steel. Yaani iwe kutengeneza aina zote za vifaa vya aluminium na grills za madirisha, milango na mageti. Pamoja na...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Naomba wadau wa jukwaa hili tusaidiane kuweka taarifa muhimu za kibenki ili ziwasaidie wadau wanaohitaji mikopo midogo midogo na ile ya kati kwa ajili kuendesha biashara. Natamani tungekuwa na...
36 Reactions
349 Replies
194K Views
Wandugu ushauri please nataka kufanya biashara ya wine kama Dompo, Bihawana, Image, Dodoma wine, Hombolo nk kutoka Dodoma na kupeleka mikoani kama Mbeya, Songea nk nimepeleleza soko la huko kwa...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Naombeni ushauri nimepambana nimepata kahela kidogo hapa nawaza kuuza valuer kama wakala lkn sijui c connection zake msaada tafadhali
2 Reactions
5 Replies
361 Views
Habari Wana Jf, nimeona nishare nanyi ili niweze kujikwamua Na Maisha kutokana Na Tafiti ndogo Ya mazingira niliyonayo , wazo langu la biashara ni kudili Au kuuza open shus,Kama makobazi,jamii...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wazee, Mimi nipo Mbagala naomba kuuliza kwa wanaojua au kwa ambao walishawahi kuagiza kitu kupitia Ali express. Mimi nataka kuagiza kitu kupitia Ali express ila inanishinda.kwa sababu nilishazoea...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu nahitaji kufahamishwa mahali kilipo au vilipo kiwanda vya nguo kwa Dar au Pwani ambacho kinazalisha tshirt. Achana na vile vya external pale.!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…