Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni ukweli usiofichika kwamba hapa nchini Tanzania ni ngumu sana biashara iliyofunguliwa kwa ushirikiano wa kuanzia watu wawili ni ngumu sana kudumu. Ukimtoa...
Huu Uzi wa kubadilishana contacts za kazi / baishara, mfano ww ni muuza duka unahitaji msaidizi wa kukuza, au una biashara flani unahitaji supplier ,
Taja aina ya mtu unayemuhitaji, wahitaji...
Karibuni kwenye mada hii mdau
Nipo hapa nawaza kwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa geita na singida
Je, ni mji gani mzuri kati ya hii miwili ni mkubwa kifursa kuliko mwingine kimaendeleo...
WIZARA YA MADINI YAOMBA SHILINGI BILIONI 89.3
Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko ameliomba Bunge liridhie na kupitisha makadirio ya shilingi 89,357,491,000.00 kwa ajili ya matumizi ya Wizara na...
Habari ya mchana ndg zangu..
Naombeni nipate connection ya mfanyakazi wa FAIDIKA , makao makuu.
Nna shida ya mhimu sana ... na nikiangalia muda si rafiki.
Mwenye mawasiliano aniPM ...
Nitashukuru.
Habari za wakati huu;
Moja kati ya kero kubwa kabisa ya kulipa kodi hapa Tanzania ni swala la Kwenda kwenye hizi ofisi za TRA,kupanga foleni na kupoteza muda.
Swali langu kwa hawa maafsaa wa TRA...
Habari?
Nipo hapa kushirikisha mipango yangu kidoogo.
Katika mipango yangu kwa mwaka huu 2023 ni mwaka wa akiba nataka niweke akiba pia akiba iwe inajizungusha bila mimi kuhusika nitafanya kazi...
ningependa kujua wapi Tanzania kunazalishwa zao hili la mzaituni au kwa kingereza wanaina Olive
nitafurahi sana kupata maelekezo drop me mail @ macnabsons@telkomsa.net
Wakuu kwema,
Ni kawaida kwenye biashara kujieleza juu ya nini unafanya au huduma gani unatoa,Lakini si Kila mmoja anaweza kufanya hivyo kiasi akamshawishi mteja kununua kwake.
Tatizo hili si la...
"KWANINI SHIRIKA LINA NDEGE 131 LAKINI ZINARUKA 416 KWA SIKU?"
Swali hili limeulizwa mara nyingi zaidi katika chapisho la juzi kuhusu historia ya shirika la ndege #Ethiopian #Airlines.
Kwa...
MAJI BWAWA LA NYERERE (JNHPP) YAFIKIA MITA ZA UJAZO BILIONI 6
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema wanaridhishwa na kasi ya ujazaji maji Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere...
BIASHARA YA TOOTHPICK , Namna ambavyo Charles Forster aliweza kuwa millionaire .
Kutoka kwenye mji wa Boston Marekani mwaka 1826 alizaliwa kijana Charles Forster ambae alikuwa na kuanza kufanya...
Katika uchenjuaji wa dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi nakupata faida kidogo au hasara.
Changamoto hii hutokana na uzembe wa mkemia aliekabidhiwa kwani wengi wao hufanya...
Wakuu salama.
Hii fursa nimeiona huku Kanda ya ziwa.
Kimsingi Mimi ni mtumishi wa Umma, zaidi ya mshahara sina chanzo kingine.
Sasa nimefanya tafakur na kuibuka na wazo la kuchukua mkopo CRDB...
Habari zenu,wakuu.
Ninampango wa kufanya biashara ya kutengeneza matangazo ya biashara,ya picha na sauti...ninaipenda sana hii biashara.
Ninaomba mawazo yenu,....nianzie wapi.naitaji nianze na...