Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naomba kujua kama ukitumia Aliexpress kuagiza mzigo kuwa uwezekano wa kutumia agent wengine wa usafirishaji tofauti na options ambazo Aliexpress wanakuwa wameziweka... Yani kwa mfano nataka...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Warren Buffett, in his speech and later in his article in 1984 titled The Superinvestors of Graham-and-Doddsville, told his listeners to imagine all 215 Million Americans pair up and bet a dollar...
1 Reactions
7 Replies
572 Views
Habari za leo wakuu, Naomba leo tujadiri mambo ya msingi sana, mambo ya biashara. Ni njia zipi mnazotumia kutuma mizigo ya biashara kutoka China kuja hapa Tanzania. Mfano mzigo wa nguo, simu au...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Heshima kwenu wana bodi. Kwa miaka zaidi ya 15 nimekuwa nasumbuliwa na vidonda vya tumbo and sikuwa najua kama ni vidonda. Miaka kama ya 2013 ndo nlipimwa kwa mara ya kwanza nikaambiwa nina...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wana JamiiForums, Naombeni msaada kwa mtu anaejua biashara hii ya kuuza jeans za kike au ambae anafanya au alishafanya ,nahitaji kuuza jeans ambazo sio za mtumba, yaani kufungua duka la...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumiwa ili kufufua uchumi wa Tanzania. Hapa ni baadhi ya njia hizo: Kukuza Sekta ya Kilimo: Tanzania ni nchi yenye uwezo mkubwa wa kilimo na ina ardhi...
0 Reactions
4 Replies
434 Views
Habari wanaJf Week hii tunaona IMf iki isifia Tanzania kupaa kiuchumi kutoka 69.9bilion Dollar kwa Miaka miwili tumefikia 85.45Bilion dollar. Ambapo wastani wa pato la mtu moja moja ni sawa na...
2 Reactions
12 Replies
573 Views
Jamani ndugu zangu wana JF, ninalo wazo kabambe la Biashara. Mazingira yote ya biashara nimeshajiridhisha nayo. Na wazo langu haliko na mambo mengi, lakini kila kitu kipo kwa uhakika. Nipo Dar es...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajamii forums... Naombeni msaada kwa mtu anaejua biashara hii ya kuuza jeans za kike au ambae anafanya au alishafanya ,nahitaji kuuza jeans ambazo sio za mtumba, yaani kufungua duka la...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wana JF, Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye...
5 Reactions
41 Replies
9K Views
Habarini wadau, ninatatizo moja hapa nahitaji ufafanuzi wenu. Nimesajiri kampuni kama business name au huitwa Solo Proprietor Company. Inahisika na utalii, hivi sasa na taka kujitanua kwa kufungua...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
GHATI CHOMETE - SERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA NGUO MUTEX MUSOMA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ameiuliza swali Wizara ya Uwekezaji...
0 Reactions
4 Replies
719 Views
Naomba msaada wenu kama kuna mdau humu anisadie hata pm USSR
0 Reactions
13 Replies
574 Views
Watu wengi tushawahi kuwauliza watu eneo kwaajili ya kufanyia biashara fulani, yaani baada ya kupata wazo unalitekelezea wapi...?? Njia rahisi ya kupata eneo sahihi kwaajili ya biashara yako ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello guys, Mimi ni mfanyabishara wa vitu vya kike (nguo na viatu). Nataka kwenda SOUTH AFRICA kujuana na supplier na kujua soko la kule likoje. Utaratibu wa kusafirisha mizigo na kilo kitu. Kuna...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu kwema, natafuta dalali wa mazao Tabora, nataka kununua karanga tani 16 na kuendelea. Nichek inbox au reply uzi huu
3 Reactions
3 Replies
496 Views
Habari wakuu , Mimi ni mtumishi hivyo katika harakati za kupambana Ili kujitafutia mkate nimeona fursa katika vitu vya electronics hasa kwa watumishi kwa kuwa mm bado sipo vizuri kwa UPANDE wa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Ebu tuelimishane, Kwanini kwenye mfungo wa Ramadhan vyakula vinapanda bei? Kwanini bar, gesti na kitimoto biashara inakuwa ngumu kwenye mfungo? Mimi nilitegemea biashara ya chakula iwe ngumu...
1 Reactions
10 Replies
693 Views
Habari wadau,naomba msaada kuagiza mzigo kutoka Nigeria,ni ki parcel cha kubeba mkononi,mwanzo nimeagiza kupitia DHL bei ni kubwa na bado mpaka sasa sijapata, sababu ni watu wa customer TRA...
1 Reactions
3 Replies
727 Views
Waungwana hapa nafikiria kufungua kituo cha kuziba pancha lakini kwanza nahitaji hii machine ila sijui napata wapi mwenye ufahamu Naomba anielekeze niipate
0 Reactions
6 Replies
774 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…