Salaam wakuu!
Hii app ya kikuu ina ukweli au uaminifu kwa kiwango gani?
Kwa sababu nimeona bei ya simu samsung S23 ultra plus nimeshindwa kuelewa. Hii ni bei halisi au namna gani hapa??
Waheshimiwa baada ya mapambano makali sana. nimefanikiwa kupata mtaji wa shilingi milioni nne. Sasa kutokana na mimi mwenyewe kuwa mvutaji wa sigara. Nimefikiria kufanya biashara ya sigara kwa...
Mimi ni kijana, mwajiriwa lakini katika kupambana na maisha na kufikiria idea mbalimbali za biashara nilikutana na mdada akanigusia kidogo sana kuhusu biashara ya kununua sigara kwa jumla na...
MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI.
INTRODUCTION:
Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa...
Na nikiri NAPENDA HELA SAA.
Yaani ukitaka niwe na Amani...
Wakuu habari, natarajia kufungua biashara ya kupaka kucha rangi na kubandika kucha rangi kwa wadada yan kuwa na frame mwenye kujua ABC ya hii biashara anipe muongozo tafadhari.
Inavyo onekana mitandao ya simu haiko Regulated kumaintain balnce of fairness kati yake na mlaji pamoja na a mawakala (Agent)
Hivi siku za karibuni ukianzia Dec 2022, Mitandao ya simu imekua...
Wakuu baada ya kukaa kwa Muda mrefu bila ajira, sasa nimepata sehemu.
Je kwa mshahara huu kwa jinsi nilivyo na usongo nataka kujiongeza Lakini sina Muda mwingi wa kusimamia naplan kumweka dogo...
Saffron is on its way from the ‘saffron bowl’ Pampore in Kashmir to the northeast as NECTAR in an ambitious project has successfully grown the spice at Yangyang in south Sikkim and parts of...
Ni kweli kila kizuri kipo Dar ila kuwepo hapo sio kwamba kinasaidia mikoa mengine kuibuka kwa majiji.
Wimbi kubwa la wasomi, wafanyabiashara, watafuta maisha, miradi na n.k limelekezwa Dar na ili...
Habari zenu Wakuu?
Ndugu zangu masika ndio hii mvua zinazidi kushika kasi kwenye baadhi ya mikoa mingi nchini, huu ni wakati sahihi wa kufaidika na mvua zinazoendelea kunyesha kwa kuwekeza kwenye...
MHE. AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 20 KUNUNUA MAJIKO YA GESI 500 KWA WANAWAKE WA MKOA WA SINGIDA
SEMINA YA MAFUNZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA UWEKEZAJI, RC MISSION MJINI SINGIDA
KAULI...
Hello!
Nipo Mwanza nahitaji kuuza pazia japo sio mara yangu ya kwanza nimekua nikiziuza, kwahapa Mwanza nachukulia 20000 pazia Mbili.
Natamani kujua kwa Dar Bei inawezakua sh ngapi? Maana wengi...
MAWAZO YA BIASHARA NDOGO NDOGO,
KUANZIA MTAJI WA ELFU 10-50
1,DAGAA WA BUKOBA
Dagaa hawa wanapatikana masoko mengi, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, wanauzwa kg moja elfu nane huwa inashuka...
Kitaalamu kuna haja ya kuwapeleka watu bara au nchi fulani ili kujifunza ni kwa jinsi gani wao wamefanikiwa kiuchumi.
Nimeiona mahali nikawa najiuliza mwenyewe; hata hivyo, nikaona niwahusishe...
Habari wakuu, nina mfumo ambao unamuwezesha mteja kufuatilia mzigo wake kila hatua mpaka unamfikia bila utumizi wa Internet, yaani nipo Mwanza nimeagiza mzigo kariakoo, nikisha lipia, niweze...
Habarini Guys.
Nimepata idea ya Kukamua Mafuta ya Mawese au ya Mchikichi ila sasa malighafi ya uhakika na bei rafiki ndio najaribu kuwaza.. inapatikana wapi kwa wingi??
Kama una uzoefu wa...
Habari wakuu,
Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye...