Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu poleni na majukumu, natarajia kwenda Njombe au Kilolo kununua msitu wa pine ekari moja kisa kupasua mbao za 2x6 ,2x4 kisha nizipeleke mwenyewe kuuza Babati. Sasa anayefahamu kwa undani...
0 Reactions
2 Replies
423 Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,ninaitaji kuagiza mzigo China kwa kupitia Alibaba Sasa ninahofu ya kutumia njia ya mtandao kuagiza hivyo Kama Kuna agent wao waliopo hapa daresalaam naomba...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Nahitaji kununua machine ya kuvunia ufuta na binde, ili niwe nakodisha mashambani niko mkoani Pwani Ikwiriri, naombeni ushauri wenu, bei na kila kitu kuhusu ili swala.
0 Reactions
1 Replies
278 Views
Mfanyabiashara wa Kitanzania, Aunali Rajabali. The richest Tanzanian investors on the Dar es Salaam bourse have amassed a total wealth of $81.77 million, according to data gathered at the end of...
19 Reactions
139 Replies
28K Views
Hivi karibuni kampuni ya Mitindo ya Mavazi ya #MSCHF iliingiza sokoni mzigo mpya wa Viatu aina ya 'Big Red Boots' ambao uliuzika wote ndani ya dakika 7 tu #BigRedBoots zimeanza kutrend Instagram...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Wadau anaejua taratibu za ushuru wa bidhaa pale bandarini kama umenunua vitu zanzibar inakiwaje anijuze. Kama wanachaji kwa asilimia za bei ya bidhaa au wanakuangalia unafananaje ndio wanakuchaji...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana Jamii forum, natumaini mko salama kabisa mnapambana kutafuta ugali Sasa hivi kumekua na wimbi kubwa la vijana ambao wanaingia kwenye biashara, baada ya kukosa ajira walizokua...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari JF Kwa wale wanaohitaji passive income, Naomba wawasiliane na mimi! Tunaenda kuwekeza kwenye Biashara ambayo gurantee ya kupata hasara ni 0000.0001% Biashara hii ni huduma ndio huduma...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Niko na idea kama unahitaji kufanya biashara ya kuuza dagaa toka bukoba. Maana ndoo /debe moja 10k so ukiwa na 100k unapata ndoo/debe 10. Kwa bongo ndoo moja huwezi kosa 30k kiwango cha chini...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Naombeni mtu wa kunipa details nikihitaji kuwa mtengenezaji wa mafuta na sabuni za kuogea na formula zake Naomba kama kuna chuo wanatoa course kama hizi aniambie nikasome
1 Reactions
3 Replies
410 Views
Ni kweli kwamba kila mwenye biashara yake ana imani zake za kidini ila sasa wateja mbona ni wa dini zote. Iweje biashara zako zinahudumia dini zote alafu leo umeamua kisa una mfungo ndo ufunge...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nikiwa kama mfanyabiashara ninayeanza kujikita katika hii tasnia huwa kuna hali inanijia kwa asilimia kubwa vitu ninavyokutana navyo huwa nahusisha sana na biashara. Katika pilika...
3 Reactions
0 Replies
562 Views
Wakubwa wenzangu poleni kwa kazi. Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda Sasa. Kwanini Ilala haina pub ambazo zinafanya vizuri kama Tabata, Sinza, Kinondoni na Temeke kidogo? Naliamini sana...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Ilinde gari yako kwa kuikinga na mionzi mikali ya jua kwa car parking shades za kisasa call/WhatsApp 0687897026 Starts from Tshs 1.6 mil
1 Reactions
0 Replies
606 Views
Ndugu wajasiriamali sekta ya vyakula /vinywaji baridi au wajuvi wa mambo, Ninahitaji kufahamu kuhusu kifaa tajwa hapo juu, deli. Nimeambiwa kwa sasa vingi ni fake/duni. Je, kwa wenye uzoefu...
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Habari zenu wadau. Naamini mpo vyema. Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kibiashara nipo Zanzibar. Nahitaji baibui za mtumba ndo biashara ambayo nna expirience nayo coz niliwahi kufanya na mtu kabla...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Ewe, Mjasiriamali nchini Tanzania, Unaepata shida Kuungana na WATEJA na Kuelewa Mahitaji yao, Soma hiii...[emoji116] . Je, Ungependa Kuunda Brand Ambayo Inawavutia Wateja Wako Na Kuwatia Hamasa...
1 Reactions
2 Replies
488 Views
Habar za kazi wadau, Naomba kupewa Elimu ya kutosha kuhusu Life Investment Insurance maana naona leo Ndugu Mfanyakazi wa Jubilee amekuja ofisini kutushawishi kujiunga na Bima ya Maisha wanayotoa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari Wana JF, Naomba msaada wa kujua namna gani naweza kupata Mashudu mazuri ya Alizeti kwa Bei nzuri. Na pia soko lake zaidi hapa Dar es salaam kwa Wenye viwanda wanaotengeza .chakula cha...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kama mjasiriamali nchini Tanzania, unaweza kuwa unajiuliza jinsi ya kutengeneza story ambayo itawavutia audience wako na kukusaidia kufikia malengo yako ya kibiashara. . Naam, . ... jibu ni rahisi...
3 Reactions
2 Replies
314 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…