Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyosema ninahitaji wazo zuri la biashara kwa mtaji wa tsh milioni 2 hadi 5 nipo Mkoa wa Lindi nakaribisha maoni ya wadau.
Wakuu, poleni pia hongereni kwa majukumu.
Hivi ni mimi tu au kuna wengine wanapitia changamoto kama yangu, hii issue ya kukosa frame ya biashara maeneo yenye interaction ya watu?
Nahitaji kupata maelekezo namna ya kufunga kampuni BRELA KUPITIA PORTAL YAO.
Kuna kampuni haifanyi kazi nahitaji kuifunga nishamalizana na TRA bado brela.
Kama wengi tunavyojua katika ulimwengu wa biashara, unaweza kukuta mmoja ana wazo zuri la biashara lenye kuleta faida kubwa pengine ndani ya wiki, lakini hana mtaji mkubwa wa kutosha.
Mwingine...
Nina mtaji wa laki 3 na nusu, wakati natafuta ajira nimeona nijiajiri niuze chips, vipi mtaji unatosha? Any idea ya how to make them in a way it suits me (kisomi)?
Ushauri wenu unahitajika...
Habari zenu tena wadau.. nafikiria kwenda katika nchi za jirani hapa kama Msumbiji, Malawi au Zambia. Yoyote mwenye uzoefu wa namna ya kufanya biashara katika nchi hizi anisaidie na connection...
Habari jamvini. Nikikuambia Leo Fanya chaguzi ungechagua IPI? Una m2.5 unatakiwa uwekeze. Nunua voda umpe kijana akupe hesabu kila siku 10,000 bila kukosa kwa siku 365.
Njia ya pili uwekeze kwa...
Nawasalimu nyote Katika jina kuu lipitalo majina yote.!
Straight forward, nimepigiwa simu na mzee wangu yapata mwezi umepita anahitaji kununua gari ya mizigo used inaitwa isuzu injection...
Habarin wana jf.....
Mimi ni kijana wa miaka 22 ni mwanachuo nina business plan kuhusu mgahawa hivyo napend kupata mtu serious amabe tutaweza kueka plans ili kufanikisha iwe kama partnership...
Hivi karibuni Bw. Nsekela wa CRDB alisema mabenki yatashusha riba na kweli ameishi kwenye maneno yake.
Leo CRDB wametangaza kushusha riba kutoka 20% hadi 9% kwa wakulima na kutoka 16% hadi 13%...
MBUNGE MARY MASANJA ACHANGIA MILIONI 21, AGAWA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WADOGO MKOA WA MWANZA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii...
Nawasalimu katika jina la Muungano wa Tz
Karibuni katika uwanja wa mawazo ya kibepari na Beberu wenu J
Ipo hivi pale mtaani kwako kulikuwa na duka moja la mangi nae akapata pesa nyingi...
Wadau, kuna Kirikuu inauzwa bado ipo kwenye hali nzuri sana haijatumika ipasavyo huku mtaani.
Model: Daihatsu (Hijet)
Year: 1997
Engine Capacity: 850
Gross Weight: 1000KG
Location: Mikocheni...
Hlw Habari wakuu,
Naitwa khalfan ni mkaz wa Mkoa wa simiyu mjini bariadi. Nawaza kuanza biashara ya kukusanya kuku vijijini na kuwatafutia soko mwanza kwenye mahotel makubwa.
Shida connection...
Kwamtu anaehitaji kujumua mazao kutoka mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe, Rukwa lakini anakwama kutokana na changamoto za kutojua mazingira sahihi ya wapi pakupa mzigo husika. Tunaweza...
Kuna ndugu yangu anataka kuchukua mkopo. Sasa anaomba ushauri je, ajiunge na SACCOSS apate mkopo au achukue mkopo BANK? Ni mkopo kama milioni 5 hivi
Please ushuari wako muhimu sana
=======...
Alhamdullaah mwenyezi Mungu uliyetupa uhai hadi sasa
Helo ndugu zanguni KATIKA Adam najua kila MTU yuko Na njia zake za mafanikio lakini kuna wale waliofanikiwa tayari tena huenda wakiwa KATIKA...
Wakuu
Mi nadhani Zama za kutegemea chanzo Cha umeme cha aina moja kama maji pekee na gesi kidogo imepitwa na wakati.
Kilichotokea jana uwanjani kinatupa picha kuwa nyakati zimefika za...
Summary: Financial writing is dense with jargon and complexities. However, studies show that investors prefer simple, clear writing with short sentences. The simple reason is that complex writing...
Habari ya Wakati huu..
Kiwanda cha kutengeneza Kalamu za wino (Pen) hapa Tanzania.
Naomba kufahamishwa wapi kilipo Kiwanda Cha kutengeneza Kalamu za wiko/peni hapa Tanzania.
Nataka kuanza...