Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Asalaam Alaikum! Binafsi nimeanza kusikiliza Podcasts mwaka 2020 baada ya Mr. Strive Masiyiwa (Bilionea mwenye asili ya Zimbabwe) kuweka mapendekezo ya vitu anavyoshauri wajasiriamali wafanye...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari wadau, Nina madini ya rangi ya carrot (carrot stone) *na Sunstone nahitaji kujua soko lake linapatikana wapi na kwa kiwango gani. Nipo matale- Gilai Check inbox E-mail :eclicken@gmail.com...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
.
0 Reactions
1 Replies
467 Views
Nina mtaji wa sh laki nne je naweza fanya biashara gani kama ujasiriamali?
3 Reactions
104 Replies
53K Views
Samahani kwa wazoefu wa manunuzi ya online,,,,,msaada kwenye kipengere Cha Apt,suite,unit,etc.......najaza nini? Zip/postal code .......najaza nini?
0 Reactions
4 Replies
41K Views
Kwanza freelancing ni kufanya kazi za nje kupitia platform za kazi kama Upwork na fiver Kitu cha kufanya tafuta digital skills (ujuzi) Wowote ule ambao unaweza kujifunza kwa kutumia computer...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani (UTW) Mhe. Hawa Mchafu ameambatana na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Right Center - LHRC) Wakili Anna Henga; Mbunge Jimbo...
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Wakuu karibuni tupeane updates za machimboni kuhusu mafanikio, njia na fursa kwa wachimbaji wadogo.
0 Reactions
2 Replies
613 Views
Kwanini uhangaike, We[emoji3578] write tumekuja na suluhu juu ya uandishi wa kibiashara na masomo pia [emoji117]Tittle and Concept note Development [emoji117] Research Proposal Writing [emoji117]...
0 Reactions
2 Replies
278 Views
Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu. Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimefanya kazi kwenye Microfinance kwa miaka kadhaa ya nyuma na moja ya kosa kubwa nimekua nikiliona kwa wafanyabiashara wadogo wadogo na wasio wafanya biashara wengi ni uelewa mdogo juu ya...
13 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za mahangaiko ya kila siku wana JamiiForums na wapenzi wa jukwaa la Biashara na Ujasiriamali. Nimekuja kwenu kuomba ushauri na sitaki kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Maleko amesema uchumi wa mwanamke ukiinuliwa, familia itakuwa na amani na ukatili dhidi ya watoto utapungua na hivyo kuwataka wanawake...
0 Reactions
3 Replies
480 Views
Kwanza nianze kwa kueleza wazi kwamba mimi ni mdau katika mawanda haya ya Utengenezaji na usambazaji wa mifumo ya Computer na kwamba ninaamini kwamba kama watanzania tunapaswa kuwekeza sana katika...
8 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwenye biashara kuna mambo mengi sana ambayo kabla hujafikiria kuanzisha biashara unatakiwa kuyafikiria ili isije tokea sababu yyte (ya kibinadamu) ikakuangusha chini ukafunga biashara yako. Watu...
87 Reactions
134 Replies
22K Views
Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25. Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje. Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu naomba tujuzane hapa.. kama kuna mtu anajua chochote. Iwe ni bidhaa za sekta gani ambazo ukiingiza Tanzania kutoka Europe hazina utitiri wa kodi. Nawasilisha
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wana Jamiiforums Kwa mtu ambaye anafanya biashara ya kukopesha pesa kwa riba tunaomba atupe ikoje na hasara zake zikoje na jinsi ya kutatua izo changamoto. Natanguliza shukrani.. Maana...
1 Reactions
165 Replies
32K Views
Kama umeajiliwa au umejiajiri fanya haya Tunza asilimia kadhaa za mshahara wako. Cut off chai ya asubuh kwa mama ntilie. Jion wai nyumbani upike Pesa hapo utaweza tunza then jifunze biashara...
3 Reactions
5 Replies
608 Views
Hello wakuu. Naombeni msaada wenu please, Nahitaji bank ambayo inatoa mkopo wa kununulia gari ya kufanyanyia Kazi, mwenye uzoefu wa hii issue naomba msaada wenu please gari yenyewe ndio hiyo. Ni...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…