Habari wakuu.
Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike.
Nahitaji msaada...
Kuna mambo huwa nikawaza na kuwazua naona vitukuu watatushangaa Sana..., De Beers ameweza kupata pesa nyingi sana na kuwa Kampuni kubwa ambayo ni (Cartel) kwa kuweza kuwaaminisha watu kwamba...
Hakikisha biashara inayokupa kipato inakuwa imara kiasi kwamba ndo inakuwa kama utambulisho wako kwenye jamii kabla ya kufungua nyingine. Kwa mfano kwa sasa likitajwa jina na Bilionea Mulokozi...
Wadau nimekuwa nikifikiria sana
Hakuna suala gumu kama kufanya planning...Napata shida sana kwenye kufukiria nn nifanye nje ya box
(business) yaan cna idea kabisa japo mtaj ninao kama 1M hv...
Habari wakuu,
Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei...
Daaaaah
"Asie sikia la mkuu huvunjika guu" na "kusikia kwa kenge mpaka masikio yatoke damu"
"Ulafi ulimponza mzee fisi"[emoji24][emoji24]
Thread in a nutshell[emoji993]...
Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera...
Habari wakuu,
Naombeni ushauri na ushuhuda kama kuna mtu aliyewaikununua tinga tinga robot kwaajili ya kutrade forex kutoka kwa billionaire forex academy
Mara nyingine huwa inaumiza sana kutazama watu wapya katika biashara ya crypto wakifanya makosa ambayo yanawapelekea kukata tamaa au kupoteza mitaji yao
Japo haikuhitaji kuwa mtaalamu sana ili...
Jambo Jambo?
Naomba kujua haya ya kununua bonds,hisa kwenye stock exchange na mambo ya UTT-AMIS
kiufupi napenda kuwekeza hela kwenye mambo kama hayo, ambayo kwa shughuli zangu za utafutaji...
Currently porfolio yangu ina coin zifuatazo:
Ripple (XRP)
Cardano (ADA)
Tron (TRX)
Kuna coin zimenipita mpaka najilaumu:
- Solana last year wakati price ilikua $9. Leo hii 1 SOL = $164
-...
Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini...
🔥🔥 ukweli mchungu ni kwamba🔥🔥🔥🔥🔥🔥
📌Cryptocurrency imekuwa maarufu kutokana na uwezekano wa faida kubwa, lakini pia imevutia matapeli ambao hutumia mbinu mbalimbali kudhulumu watu.
📌📌Matapeli...
Habari za Mchana
Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri
Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii...
Habari wanajamvi wenzangu katika jukwaa hili la biashara uchumi na ujasiriamali,
Pasipo kupoteza muda naomba nitoe ufaganuzi kidogo kuhusiana na Kodi ZINAZOHUSIKA katika uagiza wa gari Toka nje...
Kuna mtu anaomba ushauri nikaona niwashirikishe wanafamilia wa jf,
Ana million moja na nusu anataka kununua bodaboda used namba d ampe mtu ampe elfu nane kwa siku au afungue saluni za mtaani...