Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mbona ndinga bei poa sana? Au upigaji?
4 Reactions
18 Replies
2K Views
UTANGULIZI Habari Mzazi/Mlezi wa Wanafunzi tajwa hapo juu. Kuelekea mtihani wa taifa wa Kidato cha pili na cha nne, Alpha learning platform inawaletea Programu (Kozi) Maalumu ya Wanafunzi wa...
1 Reactions
0 Replies
223 Views
Habari waungwana, Ukiwa mwelewa na kuacha ubishi haya maneno yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Siandiki maneno haya ili kukuonyesha kwamba mimi ni tajiri sana hapana. Naweza kuwa sina...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
Huwa ninaikubali sana nchi ya Tanzania. Katika pilka pilka zangu za kudadisi taakwimu mbalimbali za kiuchumi ili kuilewa Tanzania zaidi, nilikutana na statistic ya kushangaza sana na ninaomba...
2 Reactions
9 Replies
733 Views
Habari za wakati jukwaa, Naomba msaada kwa wenye uelewa jinsi ya kufanya deposit kwenye account ya perfect money.
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Nina asali. Nahitaji kufahamu wapi kuliko na soko zuri nchini kwetu. Soko laweza kuwa ndani au nje ya nchi. Asali ipo Manyoni.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za majukumu wadau, Mie ni mjasiriamali mdogo wa nafaka, natoa mikoani nazileta mjini nauza kwa jumla, Sina fremu ya kufikishia biashara yangu hivyo nikifika madalali hunidaka na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani watanzania tuamke Dunia inaenda mbio sana. Kama utang'ang'ana na biashara moja hakika kilio kwako kiuchumi kitakusonga hivyo jifunze kujivunia pesa mtandaoni kama wenzako wanavyofanya...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Leo ningependa kuwapa zawadi vijana wenzangu watizame hii fursa watakuja kunishukuru badaye. Tatizo la vijana tulio wengi ni kuharakia maisha tunapenda kupata leo leo, jambo ambalo linapelekea...
47 Reactions
118 Replies
10K Views
Wanabodi, umefia kwenu! Shughuli pevu kwenye uwekezaji ni namna ya kuwa na fedha za kuanzia biashara... Watu wana mipango mingi sana, mawazo mengi sana lakini hawana cash ya kuanza biashara au...
0 Reactions
4 Replies
491 Views
Wadau ni siku nyingine tena, nimekuwa nikiona post za watu humu kulalamika juu ya ukosefu wa ajira pamoja na hali ya biashara kwa ujumla. Ni wazi kuwa watihitimu wanamaliza wengi kila mwaka ila...
1 Reactions
0 Replies
533 Views
Asilimia kubwa ya watu wengi tuna ndoto za kuwa mjasiriamali asilimia kubwa ya watu wengi wana ndoto ya kujiajili na kumiliki biashara zao wao wenyewe. Kila mwenye ndoto ya kuwa mjasiriamali hasa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii forums I think this is right place ambapo naweza kupata ushauri yakinifu from great thinkers Mimi ni mdada naombeni ushauri wenu wapambanaji wenzangu ambao mmeshapiga hatua...
7 Reactions
78 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu ! Leo nakuja kwenu nikihitaji ufafanuzi wa masuala kadhaa yanayohusisha kodi ya biashara. Ni kiasi cha miaka minne sasa tangu niingie ktk ulingo wa kutafuta maisha kupitia...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za muda wanajukwaa. Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade. Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni...
1 Reactions
3 Replies
502 Views
Nimekuwa nikifuatlia mijadala mingi hapa chini kuhusu changamoto mbalimbali zinazolikabili Taifa, wengi wanakwepesha kwepesha sana maneno na kuzunguka mbuyu labda kwa kuona aibu na kumwonea huruma...
0 Reactions
6 Replies
320 Views
Habari. Nina eneo Singida-Mwaja kilometa 5 kutoka mjini kati. Natafuta mtu mwenye mtaji pesa wa kushirikiana nae tujenge lodge kwa kuanzia vyumba vitano tu. Nipo tayari kutoa umiliki wa biashara...
3 Reactions
7 Replies
868 Views
Wakuu poleni kwa majukumu ... Nilimaliza kidato cha Nne 2013 na kujiunga na kidato cha tano 2014 na kuhitimu 2016 baada ya kuhitimu nilitoka mkoani Kilimanjaro na kuingia katika jiji la Dar es...
32 Reactions
34 Replies
8K Views
Hii mali inapatikana wapi kwa Dar na Mwanza, imeadimika sana migodini, ile ya kati, nyepesi kidogo..
0 Reactions
1 Replies
425 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…