Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hamna biashara ambayo haina risk. Namna Bora kabisa ya kupunguza risk kwenye biashara ni kupata elimu, maarifa na taarifa sahihi kuhusiana na biashara unayotaka kuifanya. Kuna namna nyingi za...
1 Reactions
24 Replies
11K Views
Biashara ya Nazi. Habari zenu wakuuu Naomba msaad wa maelekezo na ushauri wenu kuhusiana na biashara ya Nazi, Nazi nitakua nazitolea kilwa. 1. Naomba mnijuze kuhusu soko la Nazi jijini Dar es...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Wapendwa salaam! napenda kujuwa mtu anapokuwa na dhamana ya fedha za UTT mfano bond za 300m anaweza tumia hiyo Kama colleteral kwenye taasisi za fedha? au UTT inaweza ikakupesha kupitia dhamana hiyo?
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Habari wakuu nina kaka yangu yuko usa anahitaji kunisafirishia computer aina ya imac 2017 inch 21 ila ajui ni njia gani atatumia kunisafirishia naomba njia au hata msaada unaoweza nifanikisha kaka...
1 Reactions
5 Replies
866 Views
Delivering bure Tupigie 0712082915 Whatsapp 0684943062 Utalipia tukishakuletea mzigo Karibu sana
0 Reactions
2 Replies
296 Views
Wakuu natumaini mko wazima. Leo niko mbele yenu kuomba ushauri kuhusu biashara ya saluni ya kike. Mimi ni kijana wa kiume mjasiriamali na popote penye fursa huwa siogopi kujirushiamo ila najua...
0 Reactions
22 Replies
20K Views
Tupigie tukuletee Free delivering Piga 0712082915 Whats 0684943062 Karibu sana
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Habari wanaJF, Hali ya uchumi imekuwa ngumu kwa watanzania wengi. Naamini ili kupata maendeleo njia mojawapo n kujenga tabia ya kuweka akiba. Hivyo nakaribisha mawazo tuweze kupata elimu/njia...
3 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari wakubwa kwa Wadogo, Wababa kwa Wamama. Husika na kichwa cha Habari hapo juu. Nnatafuta Agent wa sigara za Dunhill kwa dar es salaam. Nnataka mzigo mkubwa kama cartoon 20. Kwa mawasiliano...
2 Reactions
2 Replies
842 Views
Wakuu habari zenu, Nina mtaji wa milion 20, nataka kufanya biashara ya vipodozi au vinywaji pombe kali za jumla na rejareja, frame ipo msamvu karibia na stand ya msamvu, naombeni ushauri wenu wakuu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, nafikiria kufungua biashara ya vipodozi, maeneo ya Msamvu Morogoro, mtaji wangu ni mil 20, naombeni ushauri, na namna yakupata business plan
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Ningependa kujifunza maana ya haya maneno katika uchumi; 1. Amana na hati fungani 2. Cryptocurrency 3. Pia, ni jinsi gani dhahabu inakuza/tunza thamani ya fedha
3 Reactions
6 Replies
839 Views
Ni mkaa kutoka Chunya kwenda popote Tanzania kwenye soko zuri zaidi. Preferably mkaa uje Dar es Salaam kwa sababu ndiko kwenye soko la uhakika na lenye bei nzuri zaidi. Nimesajiliwa kuzalisha...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Habarini wana JF, Naomba kujua jinsi ya kuanzisha kampuni ya tours. Nitakuwa tu na ofisi ila magari sina Nategemea kukodisha magari na kutia nembo ya hiyo kampuni tarajiwa. Ninaomba ABCD...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za mwaka huu wa 2023, ni amtumani yangu kwamba katika safari yako ya upambanaji unaendelea kujipa moyo na kupambana kwa nguvu.Usikate tamaa. Leo nataka nichongoze mada ndogo yenye ukubwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Wakati FTX wanafanya fundraising, Sam Bankman Fried (SBF) alichukua yeye binafsi kiasi cha dollar za kimarekani milioni 300 kati ya 420.69 zilizokusanywa kutoka kwa wawekezaji. 2. Mwezi wa...
3 Reactions
3 Replies
578 Views
Katika maisha ya biashara na Ujasiriamali hakuna kitu kizuri kama ukiwa na uhakika wa wateja kila siku, kuna furaha flani amaizing sana isiyoweza simulika. Mtu ana simu ya ofisi ipo busy kila...
42 Reactions
64 Replies
8K Views
Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Ndgu wanajamiiforams naombeni msaada wa kuelekezwa namna ya kufikisha viatu hivi katika soko la nchini Botswana kwani naamini kuna watu watanisaidia jinsi ya kuifikisha huko, na bei huko wananunua...
0 Reactions
7 Replies
588 Views
Natumai wazima wana JF. Naomben msaada nan mwenye uzoef wa kuagiza bidhaa kwenye kampun ya Ebay.. Inakuwa vp taratibu zake had kunifikia hyo bidhaa.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…