Wakuu kwema!
Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza...
Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza...
Wafanyabiashara wengi wadogo wamekuwa wanafanya biashara zao kwa kubahatisha. Wamekuwa hawana uelewa wa namna ambavyo fedha zinazunguka kwenye biashara zao. Wanachojua ni kununua na kuuza, kitu...
Benki ya NBC Yazindua Hati Fungani ya NBC Twiga, kuwainua wajasiriamali na wadau wa kilimo.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza utoaji wa Dhamana (bondi) ya miaka mitano inayofahamika...
Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA.
Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
Habari wana jamii wenzangu habari za wakati huu...
Ninaomba msaada nimetoka kumaliza chuo kikuu mwaka jana lakini maisha ya ajira naona bila bila
Msaada wenu nataka kufungua kampuni ya usafi kwa...
Leo nimeamua kuanzisha thread itakayodumu nyakati zote na majira yote . Pia uzi huu unamgusa Kila mmoja wetu.
Tunalo tatizo la umasikini katika jamii yetu. Unazaliwa masikini, unakua kimasikini...
Habari Ndugu zangu,
Napatikana Dar es Salaam nahitaji kuanza biashara ya kununua mchele kutoa mikoani kuleta kuuza jumla DSM, hivyo naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wowote na biashara hii ili...
KIJANA MTAFUTAJI: Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za mtumba na hauna mtaji njoo ofisini.
WEKA NAMBA YAKO YA WHAT'S AAP INBOX YANGU, UWE DAR ES SALAAM Ila kwa wateja wa mikoani tunauza...
Nauza Heka 1 Kibaha kongowe Mil.70 barabara ya zamani pana faa kwa Godown au Kiwanda, mita 100 hadi Morogoro road.
WhatsApp kama ukiitaji picha 0674223223
Nauza kiwanja Kibaha miembe
Ukubwa mita 54 kwa mita 23
Nimepunguza bei ya awali ilikua Mil.13 sasa nauza kwa Mil.9.5, WhatsApp au kupiga kawaida 0674 223 223.
Heri ya mwaka mpya .
Kuna kitu nimewaza kufanya lakini sijui kama nipo sawa kimahesabu kwa Sababu sio uzoefu nayo, iko hivi nimewaza nianzishe biashra ya chakula (wali) kwa kufanya partnership na...
Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu.
Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno
Nimejichanga nimefanikiwa kupata mtaji wa milion 6, nataka ninunue pikipiki 3 moja yangu na nyingne niwape vijana.
Kama unafahamu changamoto au ushauri tafadhali sema.
Habari Mimi ni kijana mjasiliamali nataka kuanzisha kiwanda cha kuzalisha Unga (sembe +dona) Dar.
Nilikuwa naomba wazoefu kwenye hii biashara wanipe muongozo kwenye haya.
1. Mashine zipi ni bora...
Habari wanandg natumai hamjambo,
Nilkua nahitaji kujua na kujifunza kuhusu biashara ya kununua mbuzi na kupeleka viwandani.
Nilkua naomba mwenye uzoefu wa biashara hii ani Pm au anaweza kujibu...