COPY and PASTE from HILARY MBONDE
[http://1]
Watu wengi wamekuwa wakiangaika hama kuwauliza watu wao wa karibu ni biashara gani afanye au ukimuuliza ni biashara gani unataka kufanya atakuambia...
Wakati taifa letu likiwa katika usingizi mzito usiokuwa na njozi, "Muungano wa Falme za Kiarabu" (UAE) walianzisha mpango wa mda mrefu wa kuwa na mbuga za kisasa mfano wa mbuga za Tanzania, na...
Wadau wa kilimo nchini wana kilio kikubwa sana baada ya kutapeliwa mabilioni ya shilingi na kampuni ya Jatu Plc ambayo imeendesha pyramid scheme tangu 2019.
Kampuni hii imekuwa ikitangaza kama...
Habar wana jf naomba msaada wa taasisi zinazohusika kutoa mikopo kwa waajiriwa au hta wafanya biashara
Ziwe ni taasisi zilizosajiliwa maana huku mitandaon kuna taasis nyingi za utapeli
Nawasalimu Kwa jina la muungano wana JF wote
Kifupi nisikuchoshe wala tusichoshane nitaenda moja Kwa moja kwenye maada kama kichwa kinavyoeleza
Mtanisamehe Kwa uandishi wangu Mimi sio muandishi...
Wakati Tanzania Iphone ni kama Lulu, wanawake wanahongwa iphone haijalishi ni mdogo au mkubwa ila wanafuraha sana na kutamba wanatumia "latest Iphone"
Wenzetu unapewa simu unalipa $15 kwa mwezi...
Salamu wakuu.
Mambo yasiwe mengi, nipo sehemu napata kilaji huku nikicheki mechi ya Yanga na Azam live.
Ee bwana meza zimechafuka beer kila pande watu wanamwagilia moyo ndipo wazo likaja...
Habari za wakati huu wapendwa.
Naomba kufahamu Bei halisi ya ununuzi wa gunia za Mahindi, mchele, maharage.
Pia gharama za usafirishaji kutoka mikoa mbali mbali Nchini Tanzania 🇹🇿
Asante.
Mimi mtu akiniambia anataka kufungua bar na mshangaa sana.
Biashara ya bar ina mambo ya giza giza sana na usipokuwa makini pepo unaweza kuisikia.
Biashara ya bar inaweza kukutajilisha gafla au...
Wanandugu, naombeni msaada tafadhali.
Mimi ni kijana mwenzenu nimebahatika kuchanga pesa zangu na nimefanikiwa kupata milioni moja na nusu; nataka kufungua biashara ya kuonesha mpira kwa jijini...
Kwa mara ya kwanza nilikuwa humu kuandika kuhusu biashara ya nafaka hasa mahindi sidhani kama ina miezi miwili, naifanya na naendelea kuifanya, ifikapo mwezi wa kumi nitaleta majibu lakini...
Nawasalimu katika jina la jamhuri,
Naomba mwenye uelewa katika suala hili anisaidie, iko hivi mimi naishi moja ya mikoa ya kanda ya ziwa kuna rafiki yangu anaishi mkoa wa iringa, juzi alinipigia...
Jamani mimi huwa nakiuliza hivi iweje Tanzania kweli tunakosa shirika la ndege lenye ndege za kuruka sehemu ambazo kimsingi ni potential kwa biashara kama DUBAI, JOHANNESBURG, LAGOS/ACCRA ENTEBBE...
hakika hizi ndizo siri za utajiri matajiri wamekuwa wakizificha toka mda mrefu ambapo Mimi toka nikiwa na miaka Tisa(9)nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana na kujiuliza maswali mengi kuwa kwanini...