Hisa si kitu ambacho watu wengi tunakifahamu!! Lakini bado ni kitu ambacho watanzania baadhi wanakifanya??
Kuna mwaka Nakumbuka Hisa za kampuni flan ( zilidoda had zikawa zinatangazwa na...
Friends,
Natumaini hizi zote ni idea nzuri ila ni ipi kati ya hizi iko very promising, yenye mzunguko mzuri wa pesa kwa sasa na kunikuza pakubwa baadae.
Karibuni
Habari
Naomba kufahamu anayeijua biashara ya kuchimba mawe ya gypsum. Kwa maeneo ya kilwa au makanya. Gharama Hadi kiwandani ni kiasi gani, na faida ni kiasi gani
Nawasilisha
Habari wakuu,
Natumai mko poa, natafuta kijana mmoja aliyepo Iringa mjini mwenye uwezo mzuri na uzoefu wa kutengeneza Software awe aliyehitimu Shahada ya IT au related programs ili awe mshiriki...
Kulingana na tupo kwenye era ya teknolojia napenda kuanzisha mjadala.
Mjadala:
Endapo kijana/vijana wana aina zifuatzo za mtaji
1)Mtaji pesa
2)Digital devices(Computer, Smartphone nk)
3)Basic...
Watumiaji wa Deal Na 1. Naomba mnisaidie kitu kimoja. Nina Dollar 6 nataka Niongezee zingine 4 ili Ziwe 10 na niendelee kupiga Mkwanja. Sasa Kama Kuna Mtu alishawahi kuweka Hii pesa tuelekezane...
Habari wana JF,
Kuna mtu yeyote humu anayeifahamu au aliyewahi kuitumia hii App ya Nikopeshe?
Wanatoa mikopo bila riba na unachohitaji ni namba ya NIDA tuu.
Ushauri wenu tafadhali.
Habari zenu viongozi, nina shida moja kwa wale ambao wanajua vizuri kuhusu swala la upigaji picha na vit vingine kam hivyo, naomben mnisaidie hata wa ushauri tu.
Nilikiwa nina wazo la kuinvest...
Naomba maelezo yanayojitosheleza tafadhali
Nafuatilia kupanda kwa gharama ya maisha Uingereza lakini kuna kitu kinanitatiza.
Wao inflation rate yao ni 9.1%
Tanzania ni asilimia 5 na.poimt
Wadau hope wote ni wazima humu.
Kuna bidhaa nataka kuleta Bongo kutoka china (mfano wa bidhaa hapo chini pichani) Sasa nina wasiwasi na soko, nisije nikashusha mzigo na ukanidodea
Kuna baadhi ya...
Habari nimepata wazo la uwekezaji.
Nimewaza hivi, nikiwa na eneo kubwa lililokandokando ya makazi ya watu halafu nikatafuta wataalamu wa ujenzi wakafanya usanifu wa shimo kubwa sana la kutunzia...
Mimi ni kijana ninahangaika kutafuta riziki kila siku, naomba kujua kama biashara ya nguo za mtumba ina faida? Namaanisha kununua belo na kuuza mojamoja.
Msaada please
Inafahamika kama Gallstone (Nyongo). Inapatikana ndani ya mwili wa ngombe,anapochinjwa hutolewa hiyo nyongo. Wachina ndiyo wadau wakubwa wa kuhitaji hii kitu.
Wao huwa Wana amini hutibu Magonjwa...
Kama mada inavyosema hapo juu wakuu naomba wazoefu na biashara hii waje watoe tathmin fupi juu ya hii biashara
1. Gharama za kuanzishwa hii biashara (simple lab )
2. Changamoto za hii biashara...
Biashara yoyote ni ubunifu.
Na si lazima mpaka uwe na mtaji mkubwa, ndio uweze kufanya biashara na kampuni za nje.
Swali; utaanzaje anzaje?
Muhimu sana huwa ni ubunifu wako; kichwa kifanye kazi...
JIFUNZE MBINU HII ITABADILISHA BIASHARA YAKO MAZIMA
Hata Kama umeshajiribu kila njia ya kuongeza Mauzo na umefeli...basi hiki unachoenda kukiona ndani ya sekunde 10 zijazo kitabadilisha kila kitu...