Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Juzi niliwauliza wanaJF. una mshauri nini kijana ambae yupo mtaani tu hana ajira mawazo yalikuwa ni mengi na ni mazuri pia. Ila na mimi leo nimeamua kuja na uzi ambao utakuwa na biashara kadhaa...
38 Reactions
42 Replies
90K Views
Habari zenu wanajamvi, Nina uhitaji eneo linalofaa kwa ajili ya uwekezaji wa hotel/camp ya kitalii katika eneo la bonde la ufa linaloangalia ziwa Manyara. Yaani ule ukingo wa bonde la Ufa Eneo...
4 Reactions
1 Replies
179 Views
Salamu Wakuu Leo Napenda Kuwashirikisha Katika Mchanganuo Huu Wa Biashara Ya SALOON Hasa Ya Kiume. Biashara ya SALOON Ya Kiume ni Wazo Zuri. Hapa chini Nimekuandalia Mchanganuo Wa Biashara Hii...
5 Reactions
13 Replies
6K Views
Nahitaji kufahamu kuhusu sheria za kuchukua au kukopa pesa bank hasa kwa wafanyabishara wadogo wadogo. Kuna mikopo inatolewa na bank ya NMB kwaajili ya machinga na wafanyabishara wadogo wadogo...
0 Reactions
1 Replies
144 Views
WILAYA YA MUSOMA - FURSA ZA KUKUZA UCHUMI NA MAENDELEO Tarehe ya Kongamano: Jumatatu, 30 Dec 2024 Mahali: Kiwanja cha Mukendo, Manispaa ya Musoma Mgemi Rasmi: Mhe Juma Issa Chikoka, Mkuu wa...
1 Reactions
6 Replies
245 Views
Jamani mimi nina chaneli ya high quality mbao (zilizokatwa na ambazo bado hazijakatwa) for export toka nchi jirani. Documents na leseni zote zipo. Nafikiria masoko ya Far East na Middle East...
7 Reactions
625 Replies
240K Views
Wana kigoma mjini msije kusema siwapi madili
3 Reactions
6 Replies
317 Views
Habari waungwana mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu na ninaitaji kufnya biashara ya viatu vya kike nifanyaje
6 Reactions
11 Replies
476 Views
Habari. Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje? Naomba ufafanuzi nisije kuyatimba wakati mwaka bado bikra huu.
1 Reactions
6 Replies
315 Views
Angalia kwenye picha niliyoambatanisha. Source: Facebook page ya BOT
2 Reactions
4 Replies
407 Views
Wakuu, Watu kutoka manispaa za Kinondoni na Temeke wamekuwa na hekaheka za kwenda kwenye sehemu za wafanyabiashara, maarufu kama fremu na kupima mabango ambayo yapo kwenye sehemu za biashara, na...
12 Reactions
40 Replies
2K Views
Salaaam Wachumi Rejea mada hapo juu Je upi ni uwekezaji ulio bora endapo katika harakat zako za utafutaji ukajaaliwa umeishika 30Mil cash Na option ukawa umeweka ni hizo mbili kati ya kuwekeza...
12 Reactions
114 Replies
12K Views
Kama ilivyo hapo juu, Mimi ninachimba Mwime ya Kahama Shinyanga. Nimechimba shimo ambalo limefikia kwenye uzalishaji ila lina changamoto kwenye mtaji. At least mtaji wa nyongeza wa mil 5 and...
3 Reactions
20 Replies
632 Views
Wataalamu na spika Bluetooth na mnaozifahamu hizi zina sifa gani, na inaweza kuwa bei gani ? Asanten
1 Reactions
13 Replies
498 Views
Kama unahitaji kusajili kampuni au jina la biashara Kubadili jina la biashara au kampuni n.k. Nitumie ujumbe whatssap au piga simu 0765991551. Nikufanyie mchakato hadi kazi yako ikamilike.
2 Reactions
2 Replies
283 Views
NItakupa sababu mbili muhimu kwanini usitumie kadi yako ya TIGO mastercard kununua vitu online. 1. Hii kadi wameunganisha mojamoja na akaunti ya Tigopesa, hamna control ambayo mteja unakua nayo...
22 Reactions
87 Replies
11K Views
Mwaka 2009 wakati bitcoin inaanzishwa ilikuwa na thamani ya usd 0.4 ambayo ilikuwa ni kama tsh. 520 tu kwa wakati huo, ilipanda thamani taratibu na hivi sasa miaka 16 baadae thamani ya bitcoin...
2 Reactions
3 Replies
320 Views
Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru...
1 Reactions
6 Replies
593 Views
Habari wana JamiiForums, Mimi ni mtaalam wa kuunda software za simu na kompyuta. Natamani kutengeneza mfumo wa logisitics/delivery ambayo itagusa kila mfanyabiashara ambaye biashara yake inafanya...
4 Reactions
7 Replies
225 Views
Wakuu! Wapi napata mikopo mikubwa bila riba? nipeni hints
11 Reactions
72 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…