KATIKA MAKUNDI HAYA MAKUBWA MAWILI YA WATU DUNIANI, WEWE UKO UPANDE UPI?!
Na Mikael Aweda.
Duniani kuna aina mbili za watu. Wazalishaji na watumiaji wa kilichozalishwa. Wachezaji na...
Wakuu habari napenda kuuliza anaefahamu kuhusu biashara ya kukoboa na kuuza mpunga maeneo ya Dodoma mjini na hata pembezoni mwa jiji.
Ningependa kufahamu
1. Upatikanaji wa mpunga kwa bei rahisi...
Habari za wakati huu
Napenda kufahamu jambo moja kutoka kwa watu wenye uzoefu kwenye biashara
Kuna jamaa mmoja anataka nimpe risiti ya EFD lakini kiujalisia kazi hajanipa (yani sijafanya kazi...
Habarini ndugu zangu,
Mimi nina goli la huduma za kipesa kama M-Pesa, Tigo na Airtel Money. Hapo awali nilikuwa kwa mwezi naingiza sio chini ya laki 5 ila kwa sasa biashara sio nzuri nimeshuka...
Ni mwaka mmoja nimekuwa kwenye hii biashara ya bodaboda, wiki 2 zilizopita baada ya kubadilisha tairi la mbele la toyo, leo bike yangu ya toyo imepiga shoti kwenye wiring.. sasa sijui ni dereva wa...
Habarini wana jamvi
Moja kwa moja kwenye lengo la huu uzi bila kupoteza muda.
Mimi ni mjasiriamali. Nilianza hii biashara mwezi wa kwanza mwaka huu. Ni biashara nzuri ukiondoa changamoto za hapa...
Nlikua kwenye biashara ya usafirishaji (bodaboda) ila kilichonifelisha sio kodi, wala faini za barabarani, wala usumbufu wa madereva, kilichonifelisha ni service za Mara kwa Mara, yani hesabu ya...
Hatifungani Ni Nini, Nawezaje Kunufaika Kupitia Uwekezaji Wake? - 2
_____________________________
Na #Mwenda ND,
Mara baada ya kujifunza juu ya nini maana ya hisa, faida na hasara zake. Pia...
Hi wadau wa JF. Mimi nina kamtaji kwangu kadogo kama 10M, uku nikiwa na 5M kama back up plan. Nataka nifanye biashara ya kufuga Samaki kitaalam, eneo ninalo Kigamboni kisarawe II zaidi ya heka...
Nilichojifunza kwenye makala ya wiki iliyopita ni kwamba wasomaji wangu wamekuwa na maswali yanayofanana juu ya ni jinsi gani wanaweza kutatua matatizo yao ya kifedha na bado wakafanikiwa...
Habari wadau?
Mimi ni mjasiriamali mdogo katika kipindi hiki cha janga la covid 19 nimeamua kuanzisha biashara yangu ili iweze kuniingizia kipato.
Na ili niweze kufanya biashara yangu bila ya...
Naomba kujua utaratibu wa mashine za kusaga mahindi kwa mwenye uzoefu. Naitaji kununua nini na nini, bei ya kila kitu kinachoitajika.
Kwa mwenye uzoefu hata mwenye uelewa pia.
Kwa yeyote atakayeweza kunisaidia kupata piston ya ZOMAX ZM-720 Chain Saw anisaidie, nimejaribu kutafuta Maduka ya Kariakoo, Kisutu na Gerezani bila mafanikio.
Naomba msaada wakitaalam kuhusu ujenzi wa nyumba za kupangisha Nina maeneo mawili, moja Makongo sqm3000 na Kigamboni sqm1700, nataka kujenga nyumba za kupangisha.
Je, nafata taratibu gani bank...
Natumai wazima wote.
Leo nimeona niwashilikishe aina hii ya biashara yenye faida kubwa pengine ulikuwa haujui.
Pichani hiyo ni crasher, wengine huita karasha. Ni mtambo unaotumika kuvunjia mawe...