Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Huu ni muendelezo wa uzi huu ↓↓ Mambo unayohitaji kufanikisha ndoto yako kiuchumi - JamiiForums Humo nilielezea vitu vitatu Dream, Goal na Plan na vipi unaviendea tuliishia kwenye PLAN(Hustle)...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila siku natafuta mtu aliyeko dar au Arusha,anayehiyaji kusambaza dagaa za Bukoba zisizo na mchanga. Eidha anunue yeye au atafute masoko Mimi nilete dagaa,kusafirisha ni juu yangu naleta mpaka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
BEI YA VITUNGUU YAPAA, GUNIA LAUZWA 450,000 SINGIDA Bei ya vitunguu katika Soko la Kimataifa la Misuna lililopo mjini Singida limeendelea kupanda ambapo gunia moja la kilo 100 linauzwa kwa...
1 Reactions
20 Replies
14K Views
Mtiririko unaohuitaji kutimiza Ndoto yako inabidi uundae in Over view kwenye maisha yako. Maisha siku zote inabidi uwe na Ndoto/Dream...let say (To Have Financial Freedom). Ndoto yako ili...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu Miaka hii ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mapopompo ,wavivu, na wenye kutokujua au kutokutaka kujua kesho yao.bado sijatazamia sababu zao ,yani kuwa namna hii na...
1 Reactions
4 Replies
967 Views
Habari za majukumu wadau, Hivi TRA wanautaratibu gani wa kumpa mtu leseni ya kufanyia kazi za Clearing and Forwarding. Maana kuna rafiki yangu alishafanya baadhi ya hatua kama kufungua kampuni...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Wadau mimi mzima najihami na janga hili la COVID 19. Natumaini tuko pamoja pia.Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi.Jana Ijumaa,mwajiri wangu alitoa barua kwa wafanyakazi wake kuwa kuanzia mwezi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimewahi kuagiza simu kupita aliexpress lakini sikufanikiwa baada ya wahuni kuamua kupita nayo,niliwauliza posta wakadai imeibiwa ilipofika airport,haikua tabu coz nilirudishiwa...
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Jamani naombeni kuuliza, je ni wapi naweza pata soko zuri la unga wa ubuyu kwa hapa Tanzania na nje ya Tanzania?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wanajamii wenzangu, hongereni na poleni kwa mapambano dhidi ya COVID-19. Niende kwenye maada moja kwa moja. Tupo vijana kama watano ambao ni wajasiriamali wadogowadogo tuna mpango wa kufuatilia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani habari za humu wana JF. Napenda kuulizia kwa wale wanaojishughulisha na biashara ya samaki. Hivi samaki aina ya vibua ukiwapeleka mikoani kwa ajili ya mauzo wanauzika? Wajasiriamali...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Wakuu, ukifuatilia matangazo yao inakuwa ngumu kujua ni simenti gani nzuri kati ya tembo, twiga, rhino, dangote, Simba, lucky etc. Rangi pia, which is the best kat ya coral paints, sadolin...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
*THE BIG PICTURE IN LOCKDOWN* If you have been working for a company for more than 5yrs and you don't have savings ... *You need to think* If you have been doing a particular hustle for more than...
1 Reactions
2 Replies
703 Views
Jamani nina Tsh. Milioni 5 na nina mpango wa kununua Mpunga. Je, kutoka na ugonjwa huu nitapata faida baada ya Miezi 6? Naomba ushauri Wafanyabiashara wenzangu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimelink debit card ambayo ni visa ATM card ya Equity bank. Pay pal washadeduct $1.91 kwenye card yangu kama malipo ya activation. Tatizo hizo codes ndio sijui zinatumwa wapi. angali attachement...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
HABARI WANA JF Kama mada ilivyo hapo juu, nifahamisheni nijue mkoa ulipo Bei ya ngunia moja la vitunguu linauzwaje huko mkoani. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina wazo la kibiashara la kuanzisha bustani (shamba) kubwa ambalo nitakusanya mimea mbalimbali toka nchini ambayo hutibu maradhi mbalimbali! Lengo la mradi huu ni kuweza kufanya utafiti wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello Friends, Nataka kuwekeza na kutokana mtaji nilionao unafaa kufanya moja kati ya hizo biashara mbili. Naelewa kila biashara ni usimamizi ila kila biashara ina chamgamoto zake. Kwa ushauri...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za wakati huu ma GTs Poleni kwa changamoto ya Korona na ni matumaini yangu kwamba kila mmoja wengi tunapambana ili kuweza kuishi.Kama uliweka malengo mengi katika mwaka huu wa 2020 basi ni...
3 Reactions
2 Replies
960 Views
Wanabodi, Katika kusaidia kudhibiti Maambukizi ya virusi vya Corona, kukitokea any good practice, lets share ili na wengine waige. Leo nimetembelea makao makuu ya kampuni ya mafuta ya Total...
51 Reactions
92 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…