Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu Je ili niweze kufungua kijiduka home nahitaji Nini kupata idhini ya TRA au naweza kufungua tu kiduka bila kwenda TRA? Naomba mnisaidie Kama Kuna utaratibu natakiwa kuufuata Sent using...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbali na kujadili mambo mbalimbali yanayohusiana na corona, nadhani ni wakati muafaka na sisi watumiaji wa mtandao huu wa JamiiForums tukaeleze ni jinsi gani janga hili limetuathiri kiuchumi na...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
WEKEZA TZS 40,000 UPATE TSHS 10,000,000 KILA MWEZI. Ndugu mpendwa, Naomba kuchukua muda wako wa dakika 5 tu kukushirikisha fursa ya biashara ya kipekee sana itakayokuwezesha kutengeneza shs...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Kwa kuwa vitambulisho vya mjasiriamalia mdogo vilitolewa na Mh.Rais,na sasa vimekwisha muda wake,je tunasubiri tena Mh.Rais atoe vingine? Mamlaka zinazohusika tunaomba majibu tunasumbuliwa na TRA.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Tafadhali naomba niulize kama miongoni humu kuna watu waliowahi kutumia huduma ya Haloyako kutoka Halotel. Huduma hii inahusisha kutunza pesa na kupokea riba kidogo, kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unapolenga kupata mafanikio makubwa katika biashara yako unatakiwa uwe na mshauri wako au mtu wa kushauriana naye. mtu mwingine anaweza kuona umuhimu wa kuwa na mshauri na kuwa tumia watu alionao...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii ni kabla ya janga la Corona.
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni juavyo mimi wafanyakazi wa Mashirika Binafsi ya Utalii yameandhirika sana na janga la Corona. Mashirika mengi yameshindwa kulipa mishahara, hivyo mengine yanaishia kulipa sehemu ya mshahara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna ulazima wa kuwa na leseni ya biashara ili hali una mtaji wa chini ya milioni 4? Je, naweza kupata line ya uwakala nikiwa na Tin Number, Kitambulisho cha Uraia (Nida), Kitambulisho cha...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu Habari Zenu, Naomba kufahamishwa niko nje ya nchi na ninataka kufungua bank account kwenye Benki ya Standard ambapo benki hii iko pia Tanzania. Ninachotaka kujua, Je kama nikirudi Tanzania...
0 Reactions
113 Replies
9K Views
Kati ya Youtube na Spotify, Apple Music, Deez au Audiomark ni wapi wasanii wanalipwa zaidi? Mfano Ngoma flani ya Wale ft Dua Lipa,Wizkid huko youtube ina views million 16. Lakini Kwenye...
3 Reactions
45 Replies
9K Views
Wasalaam..... Jamani matunda yapo ya aina mbalimbali kutika maeneo tofauti tofauti ndani na nje ya nchi yetu Tanzania. Matunda kwangu ninaiona kama bidhaa yenye fursa ya kujikwamua kiuchumi kwangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF, Baada ya kufanikiwa katika maandalizi ya kilimo sasa nimefikia kubuni biashara sambamba na kilimo. Katika harakati za kutafuta biashara ya kufanya nimefikia uamuzi wa kuanzisha biashara...
0 Reactions
30 Replies
38K Views
Hello wakuu, Nauza simu tecno camon 11 nina shida imetokea naitaji kuisolve ....Niko mto wa mbu,Arusha. Mawasiliano yangu 0688456911 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salama wa kuu. Nina ndoto iliyodumu kwa muda wa miaka 6 sasa. Ndoto yenyewe ni kuanzisha centre ya ufundishaji wa computer short course ya three months na kisha kutoa certificate kwa wahitimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Mimi ni mjasiliamali mdogo wa huduma ya Tigo pesa, sasa nimepata wazo la kuongeza biashara ya kukodisha CD na kuingiza nyimbo sasa nilikuwa na shida ya desktop mpya na bei yake na chimbo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, kama title ilivyo hapo juu nimejichanga ili nifungue duka/goli la nguo kariakoo. Mtaji wangu ni 15m (huenda kwa kkoo ni ndogo lakini nimeona niende hukohuko angalau kwa siku...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Kwa hapa kwetu Tanzania hii biashara wengi hawaitilii maanani sana na hata wale wanaoifanya wengi wao wanaifanya kawaida sana. Ila hii ni biashara ambayo ukiwa serious na ukaamua kuifanya kwa...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Habarini wadau? Nahitaji kuwa wakala wa kusajili line za TTCL na Zantel je changamoto zake ni zipi? Ni vitu gani vya kuzingatia? Scana ya Zantel ambayo nasikia inaingiliana na Voda naipata kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Sasa hivi sio watoto tu wanaolalamika kuwa hakuna ajira bali mpaka wazazi wa watoto hao wanalalamika ajira hakuna jambo ambalo linafanya familia nzima inalaumu tu mwanzo mwisho na hakuna...
40 Reactions
315 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…