Habari wana jukwaa,
Mimi ni mjasiriamali na mojawapo ya shughuli ninayofanya ni Graphic designing. Nahitaji mtu anaeprint vitu mbalimbali hususani Mabango, T-shirts/kofia (Kuprint na kudarizi)...
Habarini wapendwa katika Mungu, lengo la kuja kwenye jukwaa hili ni kutaka wazo la biashara la kuongezea katika kibanda changu nilichoanza.
Mimi nipo Geita Mjini, mwezi mmoja uliopita nimeanza...
Pamoja na kwamba zao la korosho hutegemewa Sana na Wana kusini, lakini kumekuwa na desturi ya wakulima Kukodisha mikorosho yao kwa mwaka mmoja, miwili hadi mitatu.
Binafsi nimechukua shamba la...
Wasalamu wana JF...
Natumai ni wazima na mnaendelea kuchukua tahadhari juu ya virusi hivi vya corona vinavyoitesa dunia kwa sasa.
Je ushawahi kaa ukawaza anguko kubwa la uchumi linalokuja baada...
Wakuu habari zenu
Naombeni mnielekeze iliko Shoppers plaza kariakoo /posta...kuna vitu nimeskia vinapatikana pale so nataka nikajumue kidogo
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote kote duniani hivi sasa wanapambana na tatizo la ugonjwa wa Coronavirus. Serikali zote barani Afrika kwa namna mbalimbali zinapambana kuhakikisha maambukizi hayasambai.
Tanzania nako hali ni...
Wanajamii nimekuwa na wakati mgumu wa kuamua kufanya biashara gani itakayonifaa nitakapoamua kuacha kuangaika kwenye kazi za watu,
Nahisi pesa nilionayo($23,000=milioni 50 hivi za shilingi)...
wakuu kwa hapa Tanzania ni wapiii naweza kupata hizi bidhaa kwa maana jumping castle michezo ya watoto wanaotumia kuruka ruka kipindi cha sikukuu au sherehe mbali mbali.
Wakuu amani iwe nanyi. Huyo mdau nlie mtaja hapo juu natumai wengi wenu mnamjua. Ni msaada mkubwa kweli hasa kwa sisi wakununua ama kufanya malipo abroad. Ni mtu mwaminifu kupitiliza na aliye...
Biashara, mahusiano, mipango mingi inafeli sababu watu hawajiandai na changamoto za anachokitafuta ama kukifanya matokeo yake anawaza faida tu, zinapokuja changamoto zake anajikuta anafeli...
KILIMO BORA CHA UFUTA : Ufuta (sesamum indicum)ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya...
Hii ni kwa Wakulungwa na wanaharakati na wabishi mliopo Bongo DSM.
Naomba kujuzwa hali ya biashara ikoje kwa sasa kwa scales zote yani biashara kubwa na ndogo ndogo za kitaa?
Habari za Kwako Mwana Jamii Mwenzangu!
Natumaini upo poa na unaendelea kujikinga na Corona iliyokuja kwa kasi 2020, Natumaini Mungu atatuvusha!
Wakati China wakiwa wamefunga milango yao na...
Hello Team JF.Naombeni msaada wa kuagiza vitu vya umeme wa nyumbani kutoka China. Kwa bei ya jumla na kuja kuuza hapa .wapi nitapata suppliers, usafirishaji na kodi inakuaje?
Bulb ,watts 3
Na...
Wakuu mimi nawaza kuanzisha biashara ya nguo za wanaume pamoja na viatu baada ya hili janga la Corona kuisha sasa naomba kwa wale waliopo dar wanipe connection ni maeneo gani hapo dar naweza pata...
Nimepata wateja wa Sanitizer "kitakasa mikono" wanaoishi kwenye Apartment zilizokaribu na kijiwe changu, hivyo naulizia wapi naweza pata yenye ujazo wa lita 5 halafu niweke kwenye ujazo wa 500 ml...
Wakati huu ambao dunia inapitia wakati mgumu kutokana nchi nyingi kukumbwa na janga la ugonjwa wa corona, ambao umeathiri kwa kiasi kikubwa shuguli nyingi za binadamu Kama vile shule na vyuo...