Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wanajamvi! Nipo katika harakati za kujifunza kujaza hiki "P.A.Y.E-DETAILS OF PAYMENT OF TAX WITHHELD" Nimeshindwa kuelewa vitu hivi; 1. Taxable amounts 2. Tax due Hii taxable amount...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Do you want to start any of the following 60 businesses ? Tyres Retail - New Real Estate Agency - 42 pages Executive Barber Shop - 42pgs Petrol Station (Independent) - 47pgs...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Wajameni mnaendeleaje na maisha? Kuna muuzaji mkubwa wa samaki aina ya lobsters anatafuta soko, natafuta contacts za viwanda na kampuni za samaki zinazonunua samaki hawa, au kama una taarifa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina jiwe ambalo kwa tathmini zangu za awali ni Madini mojowapo yanayopatikana kwenye mkanda wa Almasi(Diamond), naomba msaada wa mawazo niende sehemu gani kwa uhakika zaidi wa jiwe hili Sent...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu katika pita pita yangu ya hapa na pale katika maisha nilikuwa nafikiria mara mbili mbili kuanzisha biashara ya real estate hapa tanzania mimi naona ni biashara ambayo inalipa kama mtu ukiwa...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Nahitaji watu walio serious hapa jamii forum na nje. Tufanye mradi wa maji yaani kuchakata maji magumu kuwa laini. Project Investment ni Tsh. 15,000,000 mpaka Tsh.30,000,000. (Sina uhakika kiasi)...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu habari. Wataalam wa tanzanite naomba kufahamu Katika picha hii hapa chini n madini ya TANZANITE
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Moderator andikeni mnachotaka nyinyi halafu muiweke mnapopenda.
7 Reactions
45 Replies
3K Views
wakuu kwa odhoefu kuna viwanda vingapi vya kutengeneza maji mkoa wa Mbeya na nyanda za juu kusini kwa ujumla....Mbeya spring water bado inafanya kazi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu Naomba msaada katika hili Nina biashara yangu ya Urembo nilianza mda kama mwezi Wa kwanza hivi ..sasa kwa hatua niliyofikia nataka kumix na vipodozi kidogo kwa mbali Sasa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu, mm ni mjasilia mali mdogo, nahitaji kufungua Ofsi ya Uwakala wa Mabasi yaendayo mkoani. Mimi nipo Dar lkn sehemu niliyopo inachangamoto Sana ya upatikanaji wa Ticket za mabasi pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Waziri wa Ujenzi. Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isack Kamwelwe ametangaza kuanzia leo Jumatano, Julai 17 Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) litanzindua safari yake ya kwanza kutoka Dar es...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habarini wadau, kwenye habari za tbc namuona mkuu wa wilaya anasema ataanza kusweka ndani wenye viwanda vya mvinyo mkoani dodoma kwa kushindwa kununua zabibu zilizokomaa mashambani. Yaani...
0 Reactions
1 Replies
944 Views
Habari zenu wadau? Natafuta wale wanafunzi walio maliza form four Tambaza sec 1994 From Aletas Chamakeo
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Dar es Salaam. CRDB Bank customers yesterday find themselves in mayhem after the banking services were disrupted by network failures. The problem which started on Monday mid night continued today...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Max Malipo wawekeni wazi mawakala wenu kuhusu kupungua kwa kamisheni, haiwezekani mkasema tu kuwa kamishen imepungua kutoka 2.5% hadi 0.5% ya mauzo anayofanya wakala kwny luku alafu muishie hapo...
4 Reactions
43 Replies
10K Views
Mambo vipi? Kama kawaida siku ya leo tunakutana tena ambapo ningependa nikufahamishe mambo 5 yakuepuka unapoanza online business kwa mara ya kwanza. Somo hili ni muhimu kwasababu ukiweza...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Vipo vitu vingi vya kufanya, usipende kupoteza muda wako kwa kufanya kitu ambacho uwezi. Fanya kile unachoweza na ambacho unahisi kitakupa matokeo chanya.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wana jf.....Kwa anaefaham hii aina ya sim aniambie tafadhali maan nimemuagzia mtu sim kaniambia anichukulie hiyo sasa nahitaj kujua sifa yake
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Today, a new business directory (finder.co.tz) has been launched marking it as the best business directory in Tanzania. Starting with over 700 businesses including hotels, apartments, insurance...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…