Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau naomben ushauri na maono yenu katika hili Mimi ni kijana wa miaka 20 nimekua nikijifunza ufundi aluminum Sasa ni mwaka wa pili nakaa kwa shemej yangu Sasa imefika muda mwafaka wa kutoka na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jee'! Utafanya nini ili uweze kununua hisa katika makampuni? Jee'! Website gani ya kununua hisa kupitia website gani?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza...
10 Reactions
259 Replies
28K Views
Salaam wakuu. Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi, magazeti haya yanasambazwa nchi mzima mfano Nipashe, Ijumaa, Risasi, The Citizen na mengine mengi, Je haya magazeti yanakwenda wapi...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Bank ya CRDB tangu siku ya Ijumaa ya Tarehe 12 mmekua na ukiritimba wa kuzuia kutumia pesa zetu tulizo zihifadhi kwenu kwa kisingizio cha Network mbona wakati pesa tunaweka na kufungua account...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajamvi, Naombeni msaada wa kupewa design nzuri na za kisasa za lounge na club! Kwamba lounge iwe na makuti kwa juu sio bati.. Nini na nini natakiwa niwe nacho kuanzisha hyo lounge na club...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
This detailed 38 page guide is for you who wants to start a gym business. It contains contains: Overview and Trends The Modern Gym Major Types of Gyms Location & Premises Where...
0 Reactions
4 Replies
829 Views
Nadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ? - Colgate...
9 Reactions
148 Replies
23K Views
Mimi ni kijana mpambanaji nimeotea laki tatu nataka nifanye biashara kwa wazoefu naombeni mnisaidie biashara gani nifanye itanitoa angalau.
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Habari, Jamani naomba kusaidiwa kiushauri kuhusu mkopo niliochukua benki fulani ambayo kwa sasa imefilisiwa na serikali. Mkopo nilikopa mwaka 2012 kwa makubaliano ya kulipa miaka mitatu yaani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ushauri kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kuanzisha safari za kwenda kisiwa cha Mafia. Kisiwa cha Mafia kina uwanja wa ndege ambao una uwezo wa kupokea ndege aina ya Fokker Friendship...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau habari za usiku, Naomba kuuliza yalipo maduka ya jumla Dar es Salaam yanayo uza vifaa kama vile vitasa, kalamala (galamala), miko ya ujezi, pima maji, makomeo, makufuli aina mbali mbali...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu wa wakuu; Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa. Na Bei je inaanzia shingapi Maana naishia kuziona tuu kwenye picha Sasa wacha nionje na Mimi.
1 Reactions
98 Replies
10K Views
Hapa ninamaanisha makampuni yanayotoa bima za magari, nyumba, na vitu vingine. Unapokwenda hitaji huduma zao wanafanya mahesabu na unalipa jumla yote including percent ya kodi (TRA) lakini hupewi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
INCOTERMS (International Commercial Terms) ni maneno ya kawaida sana katika biashara yoyote ya kimataifa bila kujali ni njia gani inatumika aidha kwa intaneti au ana kwa ana. Hautaweza kuuza au...
18 Reactions
16 Replies
8K Views
Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imependekeza kusamehe kodi mafanyabiashara au mwekezaji kwa kipindi cha miezi sita pindi anapopewa Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN). Serikali...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mzigo nataka kusafirisha, natakiwa nipaki mzigo usizidi kilo 50, na jumla ya mzigo na kifungashio iwe kilo 50.2. Je kwa hali hiyo CIF mpaka bandari mojawapo ya hizo inapatikanaje, na inaweza...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Salute folks, Ni matumaini yangu wote mu wazima wenye afya njema kutuwezesha kuendelea na shughuli zetu za kila siku za uzalishaji. Nimekua member humu kwa muda mrefu kiasi chake, na leo nikaona...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba. Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya...
8 Reactions
101 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…