salaam wadau!
ningependa kupata ufafanuzi na ushauri kabla sijafanya maamuzi. Nipo kwenye harakati za kuanza kujenga, ningependa kupata ushauri kuhusu tofali.
Ninaishi moshi mjini na nategemea...
wakuu naomba kujua, kuna jamaa yangu ana kampuni sasa anataka akachukue leseni ya biashara manispaa ila ameambiwa inatakiwa apeleke uthibitisho wa vitambulisho mf: cha kura/taifa vya shareholders...
Maonesho ya sabasaba yangekuwa mahala pa watanzania na watu wa nchi jirani kwenda kununua kwa wingi mazao ya madini yetu kama mikufu, pete, heleni, vikombe n.k kwa bei nafuu. Wizara haina budi...
Bei za bidhaa za Azam kama maji, unga na ngano zimepaaa!
Ukizingatia Azam ni mzalishaji mkubwa wa vyakula na vinywaji laini hapa nchini, kupanda kwa bidhaa zake kutaathiri sana maisha ya walala...
Wakuu habari za majukumu.
Natambua JamiiForums ni kijiwe cha wasomi na mchanganyiko wa watu wenye busara zao.
Najitokeza mbele yenu mnipe ushauri kidogo, kwa ufupi mimi ni muajiriwa katika...
Siku za karibuni kumekua na uhaba wa soda zenye sukari kwa baadhi ya maeneo, nilichoshangaa ni kua ukiagiza soda ya Coke unaletewa chupa lenye lebo ya "haina sukari" najua na naelewa umuhimu wa...
Habarini wanandugu wa JF na poleni na majukumu ya kila siku.
Leo hii nimeona nije na hii threadπππππ angalau tutoe tongo tongo machoni mwetu.
Huu UZI utaweza kukusaidia Wewe na Mimi tuepukane na...
JAMAN WANA JF
Mimi nimejiunga na Bank ya CRDB ni mteja mgeni kabisa kwa maswala ya kibank.
Shida yangu ni hyo ya makato yao
Nimefungu Acount ile yenye ki card kimeandikwa TEMBO CARD.
sasa...
Habari zenu!
Leo katika jukwaa letu pendwa napenda tujifunze kitu kupitia kwa wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine nao walipambana sana kufikia mafanikio fulani.
Makala hii nimeitoa ktk Jarida...
Eee bana Mabanker mpo? Aisee usawa wetu umekaa vibaya sana.
Naomba tushee mawazo,vikwazo na experiences mbali mbali zilizopo ofisini kwetu na field.
Kama kwangu wateja wetu wanafilisika sana...
Habari!
Natarajia kwenda jiji mwanza mwanzoni mwa mwezi wa nane kibiadhara,naomba kufahamu yafuatayo kutoka wenyeji na wakongwe wa jiji;
1. Biashara yeyote yenye faida kwa mtaji mdogo
2. Maeneo...
Habari wakuu.. je ninaweza badili account kutoka personal kuwa chapchap?? Lengo ni kukwepa makato ya mwezi /maitainance fee na makato ya kutoa pesa. Naombeni msaada wakuu
Kuna watu nimekuwa naona humu wanashauri watu wanunue mazao ya nafaka wakati wa mavuno wauze baadae ya bei kuwa nzuri.
Biashara yeyote Inakuwa nzuri pale inapokuwa na mzunguko mzuri wa pesa...
Nina Sh. 1,000,000 hapa. Sasa yaani Kuna mambo mawili yananichanganya Sana hapa.
1. Nitafute uwanja Kwanza kwa ajili ya kujenga au
2. Niingize kwenye kilimo? Kilimo kipi hakina stress jaman...
1,DAGAA WA BUKOBA
Dagaa hawa wanapatikana masoko mengi, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, wanauzwa kg moja elfu nane huwa inashuka had elfu tano, hawa unanunua vifuko unapack unauza mtaani...
Nurse mwenye cheti cha addo
Duka lipo mwanza usagara
Nakulipia chumba miez 2, nakupa pesa ya kula 2000 kila siku salary 120,000. Alietayari nicheki kwa namba 0689636330
Habari Tanzania!
Natafuta watu wa Sales & Marketing ( Unlimited ).
Nahitaji wakazi wa Dar as Salaam tu.
Sifa
1. Ujue mitaa (maeneo) ya mkoa tajwa.
2. Umri: 18-35.
3. Jinsia: Me & Ke.
4. Elimu...
Habari za siku,
Ningependa kupata ufafanuzi juu ya biashara ya kununua kuku mkoani na kuuza mjini (Dar ea salaam) Ningependa kufahamu yafuatayo;
1)Bei ya kila kuku mmoja ni Tsh ngapi huko...
Wakuu,
Natafuta Gas Mask Respirators zenye uwezo wa kuzuia fumes za toxic gases!
Nimejaribu kutafuta kwenye maduka mbali mbali ya vifaa vya maabara na ujenzi hapa Dar bila mafanikio mara nyingi...