Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

habari wana JF! nina mtaji wa kiasi fulani cha fedha nataka nijikite katika masuala ya mineral brokering maana ni biashara nayoipenda sana. napenda kufahamu some ABC's kuhusu hii biashara. yaani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) inazindua safari ya kwanza kwenda Johanesburg, Afrika Kusini kesho. Akizungumzia uzinduzi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi alisema hatua hiyo ni...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Niliwahi sema hapo nyuma kwamba Business location inatesa watu wengi balaa. yaani nazani boashara nyingi zinazo fungwa ssna location inachangia sana. Location inahitaji hesabu kari sana tena mno...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Nataka kuanzisha biashara ya kununua kahawa kwa wakulima na kuiuza kwenye bodi ya kahawa. Mwenye uzoefu na biashara hii kuna changamoto zipi ambazo naweza kukumbana nazo? Na je, bado ni biashara...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hii gari iko sokoni Osaka, $749, jumlisha usafiri inakuwa jumla $2,100 kuinunua Osaka mpaka Kurasini. (hii Nissan ni mfano tu, kwa wale wanaoishi na kuapa kwa jina la Toyota, Vitz, IST, Noah...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau nashangaa leo bei ya bia ya 1,500 inauzwa shs 2,000 nikahoji sababu wakadai bei ya jumla wamepandishiwa toka kreti waliokuwa wakinunua shs 24,500 hadi 30,000 kwa kreti ya bia. Najiuliza ina...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu natumaini nyinyi yote mpo salama. Nahitaji kujua je nikiagiza bidhaa kwa kutumia kampuni ya aliexpress nitazipata wapi bidhaa zangu kwa hapa tanzania na vipi kuhusu kodi!? . ningeomba mtu...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
Waheshimiwa hivi hii ndio green tomarine ?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekuwa na taarifa za kuwa na mpango wa Serekali wa kununua ndege kwa ajili ya kubeba mizigo, mbali na hizi zilizopo sokoni pamoja na kwamba nazo zina uwezo wa kubeba kiasi fulani cha mizigo...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Kuna mashine ya juice ya miwa inauzwa ipo dsm inatumia generator hvyo haiitaji umeme kuoperate inafanya Kaz popote kwa 1300000 tu imetumika kwa miez 3 namba 0743514463 Mm nahama dsm thus y nauza
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari,naomba kuuliza noti moja ya kwacha 20,000 ya zambia n sawa na tsh ngapi ya kitanzania!??
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nina mdogo wangu ni mhanga wa ajira, amemaliza chuo tangu 2015, sasa amezichanga changa kwenye kilimo mpaka amefikisha million 10, sasa anaona aachane na kilimo afanye biashara. Ameniomba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Juzi katika pitapita zangu ktk maonyesho ya kilimo nilikutana na taasisi hii ya PASS kuwa wanajihushisha na mikopo kwa mkulima hivyo kwa kuwa benk nyingi hazimpi mkopo mkulima ila hawa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwanza niseme hapo Nyuma tusha wahi anzisha ila haikuchukua hata miezi 3 ikafa na watu wakagawana mbao. SACCOS Saccos kwanza ambayo ipo kwenye kundi au mfumo wa ASCA huanzishwa na wanachama wenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeona niulize maana sijaelewa hatma ya korosho zenye thamani ya karibu trillioni 1 ambazo hatujui zitauzwa lini au wapi. Tunaomba ufafanuzi
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habari? Natafuta partner ambae tutashirikiana kuandaa kazi za business plan kwa kufungua ofisi kwa hapa Dar Essay Salaam. Kwa atakaekuwa tayari aje pm tuyajenge
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Heshima yenu wakuu. Niko katika kufanya utafiti wa kampuni nzuri na za kuaminika ambazo zinatumika kuagiza magari nje kama Japanese Vehicles...Kama kuna yoyote mwenye uzoefu kuhusu anisaidie...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa anaejua biashara ya maua karkade wapi nitapata kwa jumla na bei zake naomba msaada huu wakuu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau habarini ya shughuli tafadhali naomba kujuzwa ni njia gani rahisi na kwa haraka endapo ukanunua bidhaa au ukapewa kwa nchi za ulaya na iweze kukufikia hapa bongo kwa njia rahisi.. Je kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dunia inaenda kwa kasi sana, watu wanazidi kuongezeka na uzalishaji wa chakula unazidi kupungua. In fact gharama ya chakula inazidi kupanda siku hadi siku. Kama haitoshi, tatizo la ajira linazidi...
16 Reactions
122 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…