Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu, Mimi nina mtaji wa shillingi million 4 nataka kufanya biashara na ndoto yangu ni kufanya biashara Kariakoo. Iwe biashara yoyote kati ya nguo, viatu, pochi, nguo za ndani au simu. Katika...
1 Reactions
19 Replies
11K Views
Moja ya kitu ambacho kinakimbiza wateja dukani kwako ni kupokea mteja huku umekaa. Kinaua mood ya wateja wengi sana. Mteja ni kama mgeni,a napokuja dukani kwako uchangamfu wako ndiyo utamfanya...
25 Reactions
22 Replies
6K Views
Hello buddies Naomba kuuliza kama kuna entity yoyte au group fulan or individual ambayo wanaoffer loan kwa pharmacies business, nina uhitaji huo
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau Kama kichwa cha thread kinavyoeleza nipo mikoa ya pembeni kanda ya ziwa natafuta chimbo ninapoweza kuwa nanunua dawa tajwa kwa bei nafuu. Asanteni!
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Joseph Temba atajirika baada ya kupata almasi kubwa zaidi Tanzania Source: https://www.bbc.com/swahili/habari-48412805 Taifa la Tanzania limejipatia bilionea wake wa hivi karibuni baada ya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi, jamani naomba kujua duka la vifaa vya maabara za binaadam linalouza kwa bei nafuu na imara kwa hapa Dar es salaam
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Jamani nimekopa pesa kwenye bank ya ABC lakini nakatwa miezi miwili bila kuingiziwa pesa kwenye akaunti yangu na bado wananipga kalenda et sijatmiza vigezo alafu bado nakatwa.Wanajamvi mwenye...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Benki ya FNB imetangaza kuyafunga matawi yake yaliyopo Quality Center (Juni 15, 2019) na Kariakoo (Agosti 15, 2019). Huduma zote zitahamishiwa katika tawi kuu lililopo Mtaa wa Ohio (FNB House).
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ningetaka kufanya duka huko Tanga lakini nina mtaji mdogo ndo maana ninatafuta partner mwenzangu mfanyabiashara kufanya mradi huo nami. Lazima awe mwaminifu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi inakuwaje Bei ya Bati iko juu mnoo kuliko hata mlima Kilimanjaro? Maana pesa ni ngumu kuipata na ukiipata bei za bidhaa mbalimbali za Ujenzi ikiwemo bati zinakuwa juu mnooo! Tatizo ni...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wanajukwaa naomba mnisaidie mfano kama leseni yangu ya biashara niliichukulia Dar na nataka niamishie biashara yangu Arusha ni hatua gan ambazo inabidi nifate na gharama zake inakuwaje
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naoembeni mwenye uzoefu wa vinywaji vya jumlana rejareja kama soda na maji naomba kujuzwa faida, changamoto zake na soko lake
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu.. Mimi nimeamua kujishughulisha na biashara ya logo za nguo kama ilivyo African boy ya Jux Lakini mimi sitaki kujishughulisha na logo moja tu kwasababu nina mawazo mengi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu ninakijiwe kinachoniingizia sio chini ya laki 3 kwamwezi, ila nimejiongeza nataka nifungue kijiwe kingine kama hichohicho ili niweke mtu ili niwe navijiwe viwili angalau kwamwezi niwe...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Pengine hili ni swali la kawaida sana na tayari lishaulizwa ila leo mimi natafuta majibu yake hivi inagharimu kiasi gani kwenda na kurudi china? Na sasa mtu akishafika China, tuseme Guangzhou...
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Habari ndugu zanguni habari ya RAMADAN!! Ninataka kufanya Biashara yoyote ambayo itaniingizia kipato cha ziada najua humu kuna wazoefu wa kutosha naomba msaada wa kimawazo mawazo ya biashara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habar vip wadau naomba msaada wa juu ya biashara masaai shoes,,au culture ,,soko na changamoto zake kwa sasa,,,ushauri tafathari
0 Reactions
0 Replies
935 Views
HAYAWI hayawi sasa yamekuwa, baada ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), kupewa kibali rasmi cha kuanza safari za ndege zake kwenda nchini India. Akizungumza na Habarileo jana, Mkurugenzi...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Jamani habari zenu naulizia kwa anaefahamu nahitaji kufahamu gharama za kukodi gari aina ya mende scania muda ni wiki moja tu niifanyie kazi zangu. Dereva awe wake mwenyewe. Jee gharama zao zikoje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil ! Umaskini hauishi kamwe. ====== UPDATES: Hello Hivi punde, Pole kwa tatizo lililokukuta,tafadhali...
25 Reactions
173 Replies
33K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…