Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za hapa,napenda kuwashirikisha biashara moja nzuri Kuna taasisi ya serikali inaitwa nhbra-national house building research agency,hawa wanatoa mafunzo jinsi ya kutengeneza vigae vya kupaua...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Kwema wakuu? Poleni na harakati za Januari hii.. Kutokana na ugumu wa maisha nataka kujilipua niingie migodini pande za Nyalugusu huko ila sina uzoefu na mazingira ya huko. Ningependa kupata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye Mada husika. Sifa za eneo hili nilipo Sasa la salon.. Salon nimeinunua mwaka Jana kutoka kwa mmiliki m1 ambaye yeye Hana hakua na miezi mingi. Pembeni hatua kias cha kutupa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nnatarajia kuanza maisha mapya Mwanza kama muajiriwa. Sasa nnataka jua naweza fanya biashara gani Mwanza kwa mtaji usiozidi 10 million?
1 Reactions
45 Replies
20K Views
Mabwana Kwema mm Ni kijana wa makamo Miaka michache iliyopita baada ya kumaliza shule na kukaa mtaani nikaona fursa moja Ni kujiajili na nilikuwa mtu mwenye Ndoto kubwa Sana ....I mean in the next...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hali ya upatikanaji wa mitaji ya biashara kwasasa hapa nchini ni mbaya sana hususani kwa wafanyabiashara wadogo wadogo, Serikali inapaswa kuangalia namna ya kuwekeza ktk mikopo ya kibiashara...
1 Reactions
0 Replies
590 Views
Wakuu habari, nahitaji mkopo wa million 3 niweze kutatua shida iliyonikaba sasa, narudisha baada ya miezi mitatu Kwa riba nafuu nitakayoambiwa, dhamana ni kiwanja cha sqm 1000 kipo Kigamboni...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Ujasirimali ni uzinduzi, ubunifu na uendeshaji wa biashara then kuwa na uwezo pamoja na nia ya uendelezaji wa hiyo biashara. Unapokuwa mjasiriamali inamaanisha unatakiwa kupitia mchakato wa...
2 Reactions
10 Replies
11K Views
Hivi ni biashara gani mtu anawezaa kuifanya akiwaa na mtaji wa million moja...na ikasimama kwa muda mrefu Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
12 Replies
875 Views
Wakuu nina shida ya haraka nahitaji mkopo wa million 3,nitarudisha baada ya miezi mitatu, dhamana ni kiwanja chenye sqm 1000 kipo mwasonga Kigamboni. Nitashukuru kwa kila jibu nitakalopata Sent...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Soko saivi kwenu limekaaje? Maana wengine hizi Kodi na uhaba wa soko unatupa wakati mgumu......Nasubiri mtete kitu hapa kuipa hii thread nyama zaidi.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini za jion humu ndani.Mimi ni app developer based on android,nina apps zangu kadhaa nimelink na adsense ili kunipatia kipato nashukuru Mungu zimefika dollar kadhaa na google wameshanitumia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1: Tumia pesa baada ya kuhifadhi, Usihifadhi pesa baada ya kutumia (spend money after saving, do not save after spending). 2: Jitahidi kuwa na mzunguko wa pesa wa mara kwa mara (passive income)...
12 Reactions
11 Replies
38K Views
Did
E. Xudc x d wx s z
0 Reactions
0 Replies
447 Views
Habari za Jpili JF, Nina wazo la kuanzisha Duka la kisasa la Dawa za mifugo, naishi eneo la wafugaji hivyo sina wasiwasi na wateja. Issue ni dondoo za biashara hii, mfn.Dawa za jumla zinanunuliwa...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Tunajihusisha na kutoa elimu na ushauri wa afya ( magonjwa, dawa, vyakula, urembo na vipodozi) kwa jamii zote za Tanzania na sehemu zingine nje ya Tanzania kwa lengo la kulinda na kusaidia jamii...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Chuo nilimaliza mwaka 2017 pale ruaha Catholic Kulikuwa na duka home kutokana na uongozi mbaya likafilisika wakalifunga....nilikuwa na laki 5 tu nilipoamua kulifungua upya(nnadhan mnajua kuwa...
28 Reactions
72 Replies
9K Views
Financial securities (Financial instrument/Financial asset) au Dhamana ya fedha ni mikataba ya fedha yenye thamani ya pesa na yenye uwezo wa kuuzika kati ya washirika wawili. Inaweza kuwa fedha...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Mgogoro wa kifedha 2008 (mporomoko wa uchumi) ulianzia nchini Marekani then kusambaa kwa mara ya kwanza katika nchi za Ulaya baadae Asia na mwishowe Africa. Baada ya miaka mingi ya kukuwa na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…