Natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku wanajanvi,
Naombeni msaada kwa wanaojua jinsi ya kutengeneza mishumaa, shampoo na sabuni za kipande. Malighlafi zinazohitajika na gharama za...
Ndugu zangu natangaza biashara ya vitunguu ambavyo bado vipo shamba ila mwisho wa mwezi huu vitakua tayari
Eneo ni tarime mkoa wa mara.
Hecta 2 tuu.
Asanteni sana.
Sent using Jamii Forums...
Awali ya yote napenda kumshukuru mola kwa kutufikisha 2019 mimi na wewe unaesoma hapa. Basi niishie hapo na kusema hali ni tete hamna ajila pesa saivi ipo ikulu sasa mie sitaki kusubili nipewe...
Ninampango wa kuanzisha biashara ya kuuza vipodozi lakini sna elimu sahihi. Naomba kama kuna anaeweza kunipa elimu anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama heading inavyojieleza wadau nimetafuta ratiba ya maonesho yote ya biashara hapa Tanzania kwa mwaka 2019 ila nimekosa.
sasa naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu anijulishe au nipeni list...
Sehemu ninayofanya kazi tuliwahi kufanya kazi na kampuni fulani ya usafirishaji na utoaji mizigo bandarini, kampuni hii ilikuwa ikiendeshwa kifamilia..yaani unakuta Mmiliki ni babu, Meneja Mkuu ni...
Mheshimiwa Rais Dr. Pombe Magufuli katika salaam zake za mwaka mpya wa 2019 kwa wananchi, amesisitiza sana suala la amani na uzalendo kama nyenzo muhimu zitakazoliletea mafanikio makubwa taifa...
Wasalaam Wana jf,nahitaji kujua kilimo Cha hizo Nazi fupi Kama zinakomaa au Ni za kuliwa madafu tu ?
Na je Ni wapi kwa hapa dar nitapata Miche na bei gani?
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii...
Wanajamvi naomba tushirikiane na tupeane ushauri nn cha kufanya mwaka huu: Kwa kifupi mi ni mwajiriwa na mshahara wangu unakaribia mil 2 ila malengo niliyojiwekea ni kama ifuatavyo:
1. Nataka...
Habari wana jukwaa. Nimewaza kwa kina nikaona fuksa ni kuuza movie maeneo ya chuo kwakuwa wanafunzi ni wanapenda sana movie. Sijajua kama nipo saivi katika biashara kwa sehemu kama ya chuo...
Habari wanabodi,
Mimi ni mfanyakazi sekta binafsi, nimejikusanya na sasa nina kama 1M hivi.
Nataka kuifanyia biashara lakini sijui nifanye biashara ipi, maana ama nitafute mtu wa kunifanyia hiyo...
Wana ndugu napenda niwashirikishe wazo langu linalo tatiza ufahamu wangu....ni biashara ndgo ya namna gani naweza fanya kwa mtaji wa makadirio ya laki5
Sent using Jamii Forums mobile app
*SERIKALI KUWAPATIA VITAMBULISHO WAKULIMA*
Baada ya Serikali nchini Tanzania kugawa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo 675,000, sasa inahamia kwa wakulima ambao nao watapatiwa vitambulisho...
MOPAYA MADI
Mtaalamu wa kodi aliyeona
fursa katika ung’arishaji viatu
Na Beda Msimbe
NI nadra sana kukutana na mtu ambaye amehitimu fani nyeti ya Usimamizi wa Kodi na Forodha kufanya shughuli...
TUWAOMBE TRA KUWA NA BIASHARA-DARASA KWA AJILI YA UTAFITI
Wadau ni matumani muko salama na mwaka mpya 2019,
Ombi langu kwa wadau wa kodi , TRA, Serikali n.k ili kuepuka msuguano uliopo hadi...
Salamu Wakuu
Hongereni kwa kuona mwaka mwingine tena
Kama kichwa kinavyojieleza hapo
Mimi ni mwanafunzi wa A level mkoani arusha kijana mdogo kabisa mawazo yangu yote niliaminishwa ajira...
Kuna Jamaa anataka nimpe mtaji wa pesa kama laki3 anataka kuanzisha kibanda cha kuuza mafuta ya petrol na Oil lkn kila nikiiangalia hiii biashara faida yake ndogo sana
Lita moja filling station...