Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Natumaini wrote hamjambo. Mimi hapa leo naomba kuuliza kama kuna MTU mwenye kujua kampuni inayojitambulisha kama Alliance in motion na shughuli zake hapa Tanzania.
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Mm ni kijana nataka nianze kujumua mahindi kwa wakulima na kuweka gengeni kwangu niuze rejareja niko mkoa was mbeya tatizo langu in wapi kwa kuyapata ambapo yatakuwa kwa bei nafuu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo Rais John Pombe Joseph Magufuli (Sina hakika na mpangilio wa majina yake) amekagua magari ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania yatakayotumika kusomba Korosho za wakulima zitakazonunuliwa na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nahitaji kukopeshwa milioni 1 nitarudisha baada ya mwezi 1 kwa kurudisha milioni 1 na laki 2 naweka dhamana ya simu IPhone 8 plus Niko mwanza. Mwenye kuvutiwa kusaidia karibu pm.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hali tete kweli, Tanzania ya leo si vijana, si watoto, si wazee wote wanapigana vikumbo kwenye kubeti. Ukute sasa wanaombana peni halafu deadline imekaribia, wanavyotukanana kama wote rika moja...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habarini za kwenu wadau wa masuala ya stocks. Naomba kujua juu ya ukweli kuhusu method sahihi ya kutumia kufanya uamuzi juu ya uchaguzi wa hisa za kununua sokoni kati ya fundamental analysis...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa Lengo la kuanzisha uzi ni kupeana mbinu na maujanja katika biashara hii maana ni mwaka sasa nipo kwenye hii biashara lakini kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa nane nlianza mkakati wa...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Habar wakuu hivi inawezekana kutuma pesa toka PayPal kwenda moneygram ...na inakuaje utaratibu mpka kuzpokea toka kwa mtumaji
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By SPECIAL CORRESPONDENT IT is no doubt that the three years of President Magufuli in power has ushered in significant progress for Tanzania but this is not good news for prophets of doom whose...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapendwa salaamu; Mungu Mwenye enzi na mamlaka zote anatulinda vyema sisi kama Taifa pendwa la Tanzania.Binafsi naipenda Tanzania. Nijikite kwenye hoja yangu : Tanzania ni nchi ya amani ambayo ni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninafanya biashara ya reja reja sehemu ninayoishi, nauza nguo za watoto. Mwaka huu TRA wamenikadiria kulipa kodi kubwa Kuliko uwezo wa biashara ninayoifanya. Mtaji ulioabdikwa kwamba ndio uko...
1 Reactions
39 Replies
8K Views
Wadau,,,tupo kwenye mchakato wa mwisho mwisho wa kuanzisha N.G.O,ambapo kwa sasa tunasubiria green light toka ofisi ya msajiri wa vyama vya hiyari(toka wizara ya mambo ya NDANI),namaanisha kupewa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habarini wadau..nifahamishen mwenzenu biashara ya usafiri uber ama taxify.na malipo sasa yakoje kwa mwenye gari anapewa kias gan kwa wiki..ukiangalia bei zimeshuka...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
The List 1. Rahma Bajun [ Founder - MnM Clothing Line] 2. Idris Sultan [ Founder - Sultan by Foremen] 3. Fahad Awadh [ Founder - YYTZ AgroProcessing] 4. Patricia Majule [ Founder - Unique...
4 Reactions
31 Replies
6K Views
Naomba anayefaham au ambaye amewahi kupata huduma zao Tanzania Investment Bank wanatoa mikopo kwa wakandarasi wazawa? Mashariti yao yapoje ? Asanteni
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Za leo ndugu zangu, Naitwa Thandiwe, ni mkazi wa Dar lakini kwa sasa nipo mkoani. Kiukweli hali ya maisha imekuwa ngumu hatukatai ndugu zangu hasa sisi tuliopo mikoani kwa sasa ila kiukweli, kuna...
7 Reactions
224 Replies
16K Views
Habari wapishi na walaji. Nina wazo la kuanza kuuza hizi pilipili kwa ku TENGENEZA na Kupaki. Kwa yule anaefanya hii biashara au mwenye ujuzi wa Kuandaa hii kitu anipe maujuzi jinsi ya...
1 Reactions
5 Replies
9K Views
Kuna mwanamke nimekutana nae facebook Alianza kwaniuliza naishi wapi, nafanya kazi gani nikamwambia, Nae akasema anafanya kazi ya kutoa taarifa na kulipwa Katika kampuni moja linaloitwa EDMARK...
5 Reactions
34 Replies
7K Views
Habarini wakuu. Nimepambana nimepata mahali 2 mil. Nataka niwekeze walau niwe napata chochote. Naishi Moshi Mjini. Kuhusu kilimo hapana! Naombeni ushauri mapema wakuu maana hela haikai na...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza sana NMB kwa kuleta huduma hii ambapo mfanyakazi anakuwa na uwezo wa kukopa mpaka asilimia 40 ya mshahara wake(take home bila shaka) Huduma hii ya mkopo ambayo...
16 Reactions
74 Replies
65K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…