Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Napenda kujua Serikali inatumia kanuni gani kukadiria Kodi ya Madini mbalimbali ambayo Mteja katoka nje kaja kununua ndani ya nchi, sasa anataka kulipia Kodi ili aondoke na Madini yakiwa na...
1 Reactions
2 Replies
879 Views
Mwanahistoria na Mdau wa Maendeleo, Francis Daudi amefanya Tafiti kuhusu Mahusiano ya Kiuchumi kati ya Tanzania na India toka Mwaka 1960. Kufahamu mahusiano hayo, fursa za kiuchumi zilizopo kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar ya jion wakuu?? Baada ya kupigapigana na kufilisika huko niliko kuwa kwenye biashara zangu za mbao niliamua kurudi home na kwa maana kwa muda sana nilikuwa nashamba nilinunua kipindi nipo...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Msomi wa Shahada ya Uzamili ya Uhasibu na Fedha katika Mafuta na Gesi Asilia, Leonard Constantine Amefanya ‘Risachi’ kuhusu Ushiriki wa Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati (Micro, Small, and Medium...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nijuzeni natarajia kusafiri muda so mrefu najiuliza je Pesa nachenjiwapi? Naje benk za Kenya ukiingia na kadi ya Tz unapatahuduma?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
habari
3 Reactions
142 Replies
20K Views
Wasalamu, hizi ni terminology za TRA.nafahahamu TIN lakin VRN sifahamu wala sijui faida za kuwa nayo wala hasara za kutokua nayo.naomba kupewa shule jaman!
0 Reactions
12 Replies
20K Views
Wanajamvi Amani kwenu. Tafadhali kwa yeyote mwenye kuijua taasisi ya kifedha au kampuni inayoitwa CGI (Magellan international) anipe mwanga jinsi inavyofanya kazi. Ninatanguliza shukurani.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jf wenzangu naomba mnisaidie kwa hili maana nimekaa nikijiuliza sana bila kupata jibu hivi kweli soko la hela za kizamani lipo au ni utapeli tu? Maana hii habari nimeisikia kitambo sana kuwa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nauza tecno W3 Ambae anaitaji anicheki kwa namba 0757983094 ila uwe mkazi wa dar
0 Reactions
5 Replies
714 Views
Jamani humu ndani,kuna kifaa ninataka kuagiza ulaya au marekani, nimenge na maduka mbali mbali na makampuni ya usambazaji nimeambiwa hawawezi sababu hicho kifaa hakijawa-registered na TFDA.sasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa. Katika pitapita zangu za mihangaiko nimekuwa nikifuatilia namna ya kupata Madini tajwa hapo juu. lengo langu ni kununua toka nje ya nchi kwa wachibaji wadogo kisha kuja kuuza...
3 Reactions
20 Replies
12K Views
Heshima kwenu wakuu, wakati tunaenda kumalizia malizia mwaka juzi J5 ilikuwa siku nzuri kwa jeff bezos ambapo report iliyotelewa na shirika la bloomberg ilionyesha yafuatayo:- >Amazon ilipata...
9 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wana JF Nina wazo moja la biashara ambalo naomba ushauri. Wazo langu ni hili nataka niwaunganishe wauzaji na wanunuaji wa mazao na mifugo kwa njia ya mtandao. Nina uelewa na Blogs hivyo...
7 Reactions
61 Replies
7K Views
2. USIZITUMIKIE PESA(don't work for money). hii ndio siri namba mbili baada ya kuangalia ile namba moja na mkubwa kuliko zote.kunawatu wanaamini kuwa wakijibidisha na kujitesa kwakufanya kazi...
5 Reactions
15 Replies
10K Views
Habari za Muda Huu Mkuu? Kumekuwa na mijadala mingi sana katika jamii hasa kwa vijana wanaopambani kutafuta maisha. Jambo lenyewe liko hivi:- Mara nyingi vijana wanapoanza kuona mwezi {pesa}...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Zile simu ni fake au orignal? Maana unakuta ni bei rahisi kidogo. kuna mdau aliyewahi nunua kwenye yale maduka athibitishe?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Fastjet imetoa tamko Leo kwamba Biashara yake ya Tanzania haina faida na kwamba inaweza kufunga virago kama isipopata mtaji mwezi huu. Hii ndio statement walioitoa London stock exchange...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Kama mnavyoelewa hizi nyakati za vyuma kukaza kisawasawa.Naomba kufahamu kuhusu kampuni zinazotoa mikopo kupitia mitandao lakini kwa riba nafuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
1 Reactions
32 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…