Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau heshima kwenu, Hope humu kuna watu wengi walishafanya hii biashara na kujua changamoto zake, nimeoa wilaya moja mkoani kwetu huko kuna fursa ya kufungua ka-kiwanda kidogo cha kutengeneza...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wajasiriamali na Ma expexted Entrepreneurs. Nilikuwa na pitia Uzi wa ONTARIO that is very nice stories na watu wana furahia sana kusikiliza story za mafanikio. Watu wanapata hamasa sana...
3 Reactions
1 Replies
916 Views
Maana ya wazo la biashara Kabla mtu hajaanza biashara, huwa anaanza kupata wazo la nifanye nini? Mawazo haya hupitia hatua kuu mbili: 1. Hatu ya kwanza Mawazo mbalimbali humiminika kichwani kwa...
7 Reactions
6 Replies
10K Views
Jana machinga wameitwa na kupewa TIN number wamefurahi sanaa pasipo kujua kazi ya TIN ni nini! Binafsi nimefurahi sanaa kwasababu wakishajua ukweli wa haya mambo TIN number hawa TRA...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wandugu, naomba msaada jinsi ya kubadilisha umiliki wa biashara... naamisha kusajili a private limited company kutoa kwenye a sole proprietorship.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumai nyote mu-buheri wa afya Enyi wana wa nuru. Nimeona ni jambo la kheri tukageuza macho yetu katika vitabu vitakatifu tuone Mwenyezi Mungu anatuasa nini kuhusu swala zima la uchumi. Na zaidi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za wakati wana jamvi! Ninalo langu swali la kutaka kujua taratibu za mikopo kutoka taasisi za fedha. Nimewahi kukopa katika bank moja na bado ninalipa mkopo Niliwahi kusikia kuwa kuna...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Huduma iliyongojewa miaka mingi, hatimaye imefika: :: DSE SHARE PORTAL :: Sasa unaweza kuuza na kununua hisa kupitia mtandao. Pa kuboresha: 1. Uwezo wa kununua hisa zilizo kwenye soko, siyo zile...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam. Kumekuwa na malalamiko sana kwa watu wengi katika kipindi hiki kuhusu ulipaji wa kodi, hasa katika matumizi ya mashine za kielektroniki za EFD katika ulipaji wa kodi. Binafsi sina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Muda ndo rasilimali pekee ambayo Mungu hakuwa na upendeleo nayo. Awe masikini awe tajiri wote tuna masaa 24. Nchi tajiri na nchi masikini wote tuna saa 24. Tofauti sasa ya Matajiri na masikini...
8 Reactions
31 Replies
4K Views
Leo katika taarifa ya habari ya saa 1 kupitia kituo cha Channel 10 kuna mama mjane alihojiwa na kituo hicho akilalamika nyumba yake kuuzwa na Benki na mnunuzi kuibomoa na kusababisha yule mama...
2 Reactions
3 Replies
997 Views
Hello Kama heading inavyojieleza natafuta mshirika mtu ambaye ana biashara tayar iliyo halali au mwenye wazo na mtaji pia niingize kimtaji changu kidogo tufanye biashara pamoja KWANINI MSHIRIKA...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimefuatilia hii issue ya kuteketea kwa moto soko la Mbeya. Nimeona niwashirikishe hisia zangu. Naona kuna hujuma kwa watu wa Mbeya ( Tena za kisiasa.). Mfano kitendo cha Mkuu wa wilaya ya Mbeya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Choices You Make Will Make You, and herebelow is how millionaires think and act. Your choice is always yours. Posted as receiced. "A Lot of people said to me I wanna be rich. I started...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Samsung yakabidhi zawadi ya jumla (Grand Prize) kwa mshindi wa Nunua Sajili na Ushinde
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii forum,bila kupoteza muda nlikiwa naomba maoni na mitazamo mbalimbali juu ya biashara ya mabasi ya mikoani.ningependa kupata ujuzi namna wamiliki wa mabasi ya mikoani hufanya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumekuwa na tatizo kubwa la ajira nchini tanzania lakini je? Tatizo ni mfumo wetu wa elimu au sisi vijana kukosa ubunifu na uthubutu katika kujiajiri? Asilimia 75 ya watanzania nI vijana na...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nitatumia mfano ili nieleweke. Serikali ni kama mfugaji, sekta binafsi (wafanyabiashara) ni kama mifugo, (mfano Ng'ombe) na fani ya ufugani iwe kama aina ya uchumi wa soko tuliochagua kuufuata...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Chura anapenda sana Maji. Tuna penda sana kazi asikuambie mtu, tunapenda sana tuonekane tuko ofisini hata kama kazini ni kugumu namna gani potelea mbali si niko kazini? Tunapenda sana mtaani na...
17 Reactions
25 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…