Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari, Nahitaji mkopo wa laki 7 wa haraka tafadhali, dhamana kadi ya gari. Naomba msaada tafadhali
1 Reactions
18 Replies
4K Views
lakini sasa hivi wanasema ni vibaya number one reason i dont trust the govt
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair trended downwards from Monday to Thursday and then rallied significantly. This has resulted in a bullish bias...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Ndugu wanajamvi msaada kwa kipi cha kufanya ili kuweza kufanya usajili wa jarida /magazine. Nataka kufanya ujasiriamali kwa uzalishaji wa magazine ni nn cha kufanya ili niweze kucomply na kuweza...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Bei ya sigara pakti nzima ni shilingi ngapi kwa sigara pendwa hapa nchini naomba mwenye kuelewa anisaidie hapa tafadhali. Nikipata bei ya pakti za sigara kampun zote zilizopo nchini ntashukuru...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Can someone lend me 200k?, we will get to know each other then tutapatana nirudishe mkopo kidogokidogo kama ukipenda. I'm a young girl..sina mtu specific wa kumtegemea.na umri unaenda..i need to...
5 Reactions
85 Replies
5K Views
Wakuu natumai wazima, Naomba nilete hili mezani naombeni mnishauri sister amenipa mkakati wa kufikiria (business idea) itakayoweza kufanyika maeneo ya wanayoishi high classy people or matajiri...
1 Reactions
61 Replies
9K Views
Kawa sasa mikoa ya Arusha na Moshi ambapo vitunguu vinalimwa kwa wingi kumeanza kuwa na mafuriko ya vitunguu masokoni. Wakulima wanakosa wamuuzie nani. Serikali imediscourage exports hasa kwa...
6 Reactions
54 Replies
9K Views
Habari wanajamiiForum popote pale mlipo Duniani, Kwa wale mnaotaka kuwekeza ama kufanya biashara ya chakula namaanisha "Mgahawa"au "Hotel" nawakaribisha kuja kuwekeza Au kufanya biashara Hiyo...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Kila kitu kina faida na hasara zake.Hata hivyo lile lenye hasara nyingi ni vyema kulishtukia mapema ili kusiwepo na mrundikano wa hasara. Teknolojia za malipo ya kielektronik zimesaidia pakubwa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya TCCIA Investment PLC bi Magdalena Mkocha akizungumza na wafanyabiashara mkoani Lindi katika ukumbi wa Double M humo.Bi Mkocha alisema TCCIA Investment ilianzishwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eti wadau elimu anayopata mtu darasani inamfanya mtu kufikia malengo? Au kuwa na maisha mazuri? Maana wengi waliosoma maisha yao ni ya kuunga tu.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wachumi! Ni mbinu gani nifanye ili niweze kupata mtaji wa kuanzisha biashara tofauti na kuchukua mkopo???
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Njia za kutimiza malengo yako: Njia hizi zilisemwa na LEO BABAUTA mwandishi mashuhuri wa vitabu marekani na mmiliki wa blog ujilikanayo kwa jina la ZEN HABITS ila mimi nimezielezea kwa uelewa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nisaidieni, ni Benki gani ambayo ukiingia tu wahudumu wanakukimbilia kama mpira wa kona na vilevile wana huduma za kuingiza na kutoa hela kwenye account kupitia MPESA? Juzi nimetoka kurenew kadi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu salaam. Baada ya kutafuta sehem ya kufanya kazi ( teaching) bila mafanikio nimeamua kwenda Chunya kuangalia fursa ya kuchimba madini ili kujikwamua kiuchumi. Kwa wanaofaham mambo...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Yeyote mwenye uelewa zaidi kuhusu affiliate marketing na njia zake za kufanya payments....atusaidie kuhusu hili suala.......
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za alasiri hii wadau? Nimeona hii fursa, japo kilimo cha bangi ni haramu hapa kwetu, lakini naona kuna nchi nyingi sasa ikiwemo Israel, Jamaica, Argentina, Australia, Canada, Cambodia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, wakuu naomba ushauri au mwongozo kutoka kwa watu wenye uelewa au uzoefu wa mambo ya madini, nina eneo langu kama ekari 40 morogoro na nina eneo jingine kama ekari 30 huko...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…