Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Tanzania, 10 Septemba 2024. Mradi wa Ubunifu wa FUNGUO unaotekelezwa na UNDP hapa Tanzania kwa ufadhili wa na Umoja wa Ulaya na mfuko waIMBEJU wa CRDB Bank Foundation, imeamua kushirikiana ili...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Habari? pole kwa kazi yakujenga taifa. Kama kichwa kinavyojieleza, zifuatazo ni fursa mbalimbali, katika nyanja mbalimbali pia Waweza ongezea fursa uzionazo mahali ulipo? sharing is caring FURSA...
13 Reactions
30 Replies
15K Views
Muhtasari. Kongamano hilo lenye kaulimbiu isemayo "Ushirikiano wa Kibunifu katika Nishati safi ya kupikia, Endelevu na mustakabali wa Kijani," litafanyika kwa siku tatu kuanzia Oktoba 16 hadi 18...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Wimbi la vijana kupenda kuishi mijini hasa kwenye miji mikubwa lipo Duniani kote na hii ni kutokana na ukweli kuwa mijini kuna fursa nyingi zinazofanya matajiri wengi kutengenezwa huko. Pamoja na...
11 Reactions
9 Replies
535 Views
Mwez ujao kuna rafiki yangu anataka kufungua kijiduka cha mtaaji wa laki 8 vip TRA hawatamsumbua? Na kama watamsumbua ili kuepuka afanye nini? Kuepuka? Au kitambulisho cha mjasiriamali vip?
3 Reactions
3 Replies
238 Views
Natamani kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.Najua kua kila component hutengenezwa nchi tofauti then kuunganishwa, nahitaji vitu gani ili niweze kufungua kiwanda cha Simu ?
2 Reactions
17 Replies
622 Views
Habarini za saiz wakuu, napenda kutoa wito huu kwa Traders wenzangu....waje hapa tushare analysis. Nawasilisha.
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (Kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa mshindi wa mwezi wa kampeni ya Ni Balaa! Amina Gwila mwanafunzi wa Chuo...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku. Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex)...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Nataka kuanza kuuza simu used, anayejua soko au wapi wanauza bei ya jumla iwe ndani ama nje ya nchi anipe A to Z....πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
0 Reactions
3 Replies
386 Views
Siku ya jana wakati naperuzi jf niliona kuna mdau anauliza kama kuna bloggers hapa bongo wanapiga zaidi ya milioni, ni swali lililonikumbusha mbali sana. 2020 kuna rafiki yangu anaefanyia kazi...
2 Reactions
4 Replies
788 Views
Hela wakuu ngumu sana! Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana. Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo...
8 Reactions
43 Replies
950 Views
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex. Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
39 Reactions
821 Replies
49K Views
Jamani habari zenu wadau? Mimi nimeweza kutengeneza faida kwenye hii biashara lakini naona kuna Namna ntafeli wakati wa kuwithdraw. Najua mtaniambia kuwa kwa nini sikuwaza hilo kabla ya kuanza...
3 Reactions
40 Replies
9K Views
Wakuu habari za weekend, Samahani kwa nitakae mkwaza namna yoyote ile. Wakubwa kama mnavyoja dunia ya sasa yataka kupambana kweli kweli. Sasa mwenzenu nimechoka na haka kamshahara ka laki na nusu...
0 Reactions
11 Replies
973 Views
Wana JF habari za majukumu? Kati mada ilivyo hapo juu hivi. Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku? Mchango wako ni muhimu kwangu.
6 Reactions
122 Replies
33K Views
Kama subject ilivyo,naulizia anaeuza scanner za Epson,A3. Iwe mpya
0 Reactions
9 Replies
153 Views
Mara nyingi najiuliza hili swali hivi sisi hapa Tanzania ni bidhaa gani tunaweza kuuza nje ya nchi ukiondoa biashara ya Ng'ombe,Mbuzi, Vitunguu tunavyopeleka Comoro? Kuna nchi wachovu tu kama sisi...
7 Reactions
37 Replies
20K Views
Wadau mimi niliamua kujiajiri rasmi mwaka jana na nikasajili kampuni ya usafi, real estate na usambazaji mwaka huo huo 2023 Aprili. Nilianza hizi harakati tangu nikiwa ajirani nikaandaa ofisi...
15 Reactions
22 Replies
1K Views
Muda huu nipo Mwanza Nyamagana, huku bei ni elfu 2 kwa lita maziwa fresh. Je wewe uko ulipo lita ni bei gani. Sio mbaya kama ukiwa mahususi kwa kutaja mkoa, wilaya hata kata kama ikiwezekana. Asante
4 Reactions
82 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…