Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mwana Jf embu jiulize maswali haya labla ya kukimbilia kukopa mafuba... 1 . Kwanini nimeamua kukopa? 2 . Je! Hakuna njia nyingine mbadala yakufanikisha mpango Huu nje ya mkopo? 3 . Je?Hiki...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Uchumi wa Tanzania Unapaa. Je, hali za Wananchi zikoje? Sekta zipi zimesababisha uchumi kupaa? Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 7.9 katika robo ya pili ya mwaka 2016, ukuaji huo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
What should we to do in order to expand the economy "opportunies" to a young entrepreneurs of Tanzania? TLT Kipi tunatakiwa kufanya ili kutanua fursa za kiuchumi kwa wajasiriamali vijana wa Tanzania?
0 Reactions
4 Replies
755 Views
Jaman wadau kijana wenu nataka kuanza ujasiriamali nina mtaji wa million 4 nilikua na wazo la kununua Bodaboda lakn kuna mshkaji wangu kanishauri nifungue duka la rejareja la kuuza vitu kama...
2 Reactions
1 Replies
661 Views
Heshima kwenu. Rejea kichwa cha Habari chausika
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Habari zenu waheshimiwa, napenda kuchukua fursa hii huru kuwasilisha swali ambalo nashindwa kulipatia majibu kwa kipindi kirefu, natumaini kwamba kwa busara na weledi wajukwaa hili nitaweza patiwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Dar es Salaam — Swala Oil and Gas (Tanzania) Plc has entered into an agreement with Surestream Petroleum Limited to acquire the latter's wholly-owned subsidiary. The subsidiary - Surestream...
2 Reactions
0 Replies
532 Views
Jamaa naomba msaada nijue ni namna gani mtu ataweza kukutumia pesa akiwa Kenya kwa kutumia Western Union na Mtu akiwa hapa Tanzania afanyaje ili aweze kuzipata hizo fedha na pia Western Union...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Huu mtandao dume Tigo leo unani? Tunajaribu kupiga simu kwa subscriber wa Tigo na haziendi kabisa. Kunani Tigo?
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Naomba darasa kuhusu UTT Asset Management and Investor Service Plc. Faida zake? Mfuko gani ni Mzuri n.k
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyakazi,nimehamishiwa Arusha toka wiki iliyopita na kwa mfumo wa ofisi yangu ntahama baada ya miaka mitano ,naomba wadau mnijuze hivi naweza fanya biashara gani mtaji wangu ni mil 7...
2 Reactions
13 Replies
12K Views
Mazda CX-7 2.3 DISI MZR 5 Door Gari hii ni ya mwaka 2007 na inakaribia kufika miaka 10 Nimejikakamua kununua gari hii kwa pauni za Uingereza 3,700 kupitia Auto Trader. Kuhusu gari hii: Ni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kampuni ya Crystal Clear Software Ltd kwa kushurikiana na kampuni ya Get up Tanzania Co. Ltd na Anjoa Co. Ltd inakuletea mafunzo ya siku moja ya matumizi ya program ya mikopo inayoitwa Loan...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 18 “Get no joy, except a superficial joy, out of winning. Get no sadness, except a superficial sadness, out of losing. Get to the point where it...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
8 THINGS YOU NEED TO GIVE UP IF YOU WANT TO LIVE A BETTER LIFE Life is short, so why waste it living like you have got eternity to live? It’s important as humans we live knowing we have this one...
5 Reactions
0 Replies
876 Views
Kwenye kaduka kangu nataka niongeze na huduma za Airtel money,M pesa,tigo pesa na Halopesa.Tayari nimeshaomba laini hizo toka mwezi wa 8 mwaka huu ila bado sijaletewa laini hata moja.Kila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je, Production costs katika viwanda hapa Tanzania zinatoa ushindani katika soko Africa Mashariki? Je, bidhaa za Tanzania zinauzika Kenya au Uganda? Mfano, Mafuta ya kupikia ya Sunola ya Singida...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
UPS ni kampuni inayofanya shughuli za kusafirisha mizigo kutoka nje ya nchi kuja au kupeleka nje ya nchi. Niliagiza mzigo wangu kutoka nje ya nchi, umefika tayari umefika na nimeambiwa natakiwa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea , maelezo zaid chek hii website TheTasksPay.com - Earn from Your Home & Office, Earning website for Students, Job-less people
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kupanda kwa thamani ya shilingi tanzania ndio uchumi unaimalika au nn maana yake
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…