Nini utajiongezea ukiwa kama oriflame consultant?
1) Utajifunza jinsi ya kutumia bidhaa na training mbalimbali za urembo ambazo ukienda saluni au kufundishwa lazima ulipie hela ndefu lakini huku...
Wandugu ambao mpo kwenye Sector hii naombeni msaada wakujua jinsi ya kupata mkopo wa kujenga ,changamoto zake, gharama, na vinaitajika nini ili upate mkopo?(Business Proposal).Tuna sehemu nzuri...
Habarini wadau,
Nina ndugu yangu mmoja ana malengo ya kutajirika kufikia levels za akina Manji, Mengi, Bakhressa etc ni mbahili kiasi cha kwamba amejibana mpaka kanunua used scania moja tu ya...
Kwa wale wenye nia ya kweli na wanaotaka kufanya biashara katika mazingira yenye uaminifu, kkuna mchina yuko tayari kusponsor biashara yako, isipokuwa kwa sharti moja , malipo yafanywe kwa bank...
Wadau Habari za jamvini.
Nina jengo langu maeneo ya kibaha picha ya ndege ambalo ni mahsusi kwa kupangisha. Nimejaaliwa kuongeza vyumba vitano ambavyo vimekamilika tayari kwa kila kitu isipokuwa...
My personal view....
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
The recent revelation by the CRDB bank CEO that his bank has embarked on cut back measures on its...
Habari wana JF nimekuwa naendesha biashara ya Bar muda Mrefu na nimekuwa mnywaji wa bia sana sasa kila nikilewa napata matatizo ninapofika Nyumbani na kila ninapotafakari matatizo ninayoyapata...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
EURUSD went upwards 200 pips last week, testing the resistance line at 1.1350 before the current shallow retracement...
Hello Team,
Download Now: Herewith attached is the "National Baseline Survey Report: Micro, Small and Medium Enterprises in Tanzania (MIT, 2012) as prepared by the Ministry of Industry and Trade...
Wakuu habarini
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa nchini nanaenda kumaliza chuo sasa lakini nmepata wazo la biashara pale chuoni, nahisi sijachelewa sana
Wazo:
Nmeamua kuanzisha biashara ya...
Za saahiz vijana wenzangu,
Polen na majukumu ya kujenga taifa. Samahan naomba tafadhali mwenye kujua utaratibu mzima wa kupata nembo ya shirika la Viwango (tbs) kwenye bidhaa unayoitengeneza...
Habar za Leo banduku?ni matumaini yangu mko salama kabsa,Mimi ni mwenyekiti wa kikundi flani cha ujasiliamali,tumepata mfadhili anataka kutufadhili kikundi ametuambia tuandike MRADI,sasa...
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 15
“It seems that these days few traders are interested in trading long-term. The monthly and weekly charts remain relatively unnoticed. Traders...
Nimejikusanya na wezangu tumeazisha kikundi ambacho kazi zake ni
1) kusindika mboga mboga na.
kuzikausha kama mchicha ,matembele,kisamvu,nk
2)kuandaa unga wa lishe kama unga wa mtama...
Hivi hawa wanaotoa elimu ya ujasiriamali wanautajiri kiasi gani?
na hawa wanaosema kilimo kinalipa tena mpaka wanatoa gharama zake na faida wao nao wana utajiri kiasi gani toka waanze.
ASante