The problem with many traders is that they have only half a plan, the easy half. They know how much profit they're willing to take, but they don't have the foggiest idea how much they're willing...
Raisi ana mawazo mazuri kuhusu biashara hasa upande wa viwanda lakini utekezaji wa mawazo yake haya una mapunfu makubwa.
hakuna nchi duniani inayoweza kupata maendeleo kwa kufunga milango yake...
Habari wana jamvi! naomba msaada wa kujuzwa mimi nina familia ya watu 4 matumizi yangu ya gas yananipa wasiwasi! Mtungi wa kg 15 unadumu kwa takribani siku 25! ni avarage ya miezi mitatu sasa! je...
AUDCHF = Sell
USDCHF = Sell
EURCHF = Sell
CADCHF = Sell
CHFJPY = Buy
GBPCHF = Sell
NZDCHF = Sell
NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of...
Habarini za Asubuhi wakuu.. Kuna shida nimeipata na ningeomba kusaidiwa ushauri wa kitaalamu..
Mzee wangu alikuwa na kampuni iliyokuwa inajihusisha na biashara flani flani (ilikuwa na General...
Vodacom said on Tuesday it would not buy Neotel's highly sought-after frequency network and would offer roaming deals to rivals to get a $500 million takeover of the fixed-line operator approved...
Wakuu habari zenu,
Naomba kufahamisha jinsi ya kua broker wa biashara hii ya dhahabu ghafi hasa kwa maeneo ya chunya.
Ningependa kujua nia angalau mtaji kiasi gani mtu unaweza kuanza nao.
Mzigo...
Heshma kwenu wana JF
Mi ni kijana wa kitanzania ambaye nimeajiriwa, lakini kusema ukweli ajira inaboa! Kutokana na hili, nimekuwa nikibuni idea za kibiashara. Mara nyingi nikiwaeleza watu idea...
Habari wana JF.
Ningependa kushea idea mbalimbali na wauzaji wa Pumba laini za mchele au mahindi popote walipo Tanzania.
Tujuzane bei mbalimbali za sehem husika. Nitashukuru zaidi kama...
Kwa wanauchumi waliobobea,tunashuhudia serikali mpya ya awamu ya tano ikijitahidi kubana matumizi na kuwabana wafanyabiashara kulipa kodi ili kuongeza mapato ya nchi,nini matokeo ya hatua hizi...
Ndg watz wenzangu,
Siku ya leo Nimeenda kkoo kununua mapazia. Katika pitapita yangu nikapita Duka moja la Wachina liko mtaa wa Aggrey. Nikatoa elfu 80 kulipia mapazia. Yule mchina akinifungia...
The AECF TZAW is a special fund of the AECF that is only open to agribusiness ideas being implemented in Tanzania. The competition seeks innovative agribusiness ideas that will have a positive...
Napenda kuyapongeza makampuni makubwa ya vinywaji hapa nchini, kila moja kwa kuchukua hatua mbali mbali yenye manufaa kwa walaji (Wanywaji).
Kwa wale wapenzi wa soda, mtakuwa mmenotice kuwa ladha...
Wadau,kuna habari za uhakika chini kutoka kwa wadau wangu wa karibu kuwa hali ya mfanyabiashara said wa home shopping center si nzuri kibiashara...
kama thread moja iliyowahi kuandika habari zake...
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS ? Part 18
?The trading game is not won in the strategy one selects. The trading game is won in the mind.? ? DbPhoenix (Source: Trade2win.com)
Name...
Katika kusaka namna ninavyowexa kupata walau ka gari ka kutembelea nilikuta kampuni inaitwa Sbt japan wauzaji wa magari kutoka japan.
Kabla cjafanya Order je ni kweli ni kampuni makini na...