Wapendwa naomba mwenye uelewa na Hisa anieleweshe nataka niingui kwenye biashara ya ununuaji Wa Hisa
Pia ni Hisa za kampuni gani zinafaida na ukiwa na kiasi gani cha Pesa?
Nawakilisha naombeni...
Kutoka Statoil
(I shared as I received, usiniulize maswali mengi, mimi sio muhusika, tembelea website yao kama walivyoitoa hapo chini)
Shindano la mradi wa biashara la Mashujaa wa kesho...
Je, una ozoefu katika sekta ya usafirishaji na uchukuzi?
Kwa mfano: Tours, Taxi, Trucks, Daladala nk.
Je, unaweza kufanya kazi kama afisa masoko (part time) katika sekta hiyo au kuwa mshauri...
Naomba msaada wa kujua ni mashine gani zinatumika kuprinti plastic id cards na bisness cards kwa haraka, zinapatikana wapi, kwa bei gani. Na material zake zinapatikanaje? Kwa sasa natumia Epson...
Habari wadau, tuna kampuni yetu ya mambo ya Media ambayo iko Mkoa mmoja hapa Tanzania, tuliplan kufungua gazeti ambalo litakuwa linadeal na kuandika habari zinazohusu maendeleo na fursa za mkoa...
Wanabodi,
Naomba nianze kwa kuwakumbusha maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, kuwa Umasikini mbaya kabisa ni umasikini wa mawazo!, kuwaza kimasikini, kujikubali kuwa sisi ni masikini, na...
Wadau heshima kwenu!
Nauliza, ntapata wapi Polyurethene Liquid kwa ajili ya kutengenezea mold? Navyofahamu zinakuwa aina mbili za vimiminika ambavuo baadaye vitaganda baada ya kuvichanganya...
Habari zenu wapendwa?
Wakuu kuna jengo linahitajika kwa ajili yakuhifdhia vitu fulani hivi, hilo jengo linatakiwa liwe na kuta ndefu kama za ghorofa ila halitakuwa na vyumba vya juu na chini...
GBPAUD = Sell
GBPUSD = Sell
EURGBP = Buy
GBPJPY = Sell
GBPCHF = Sell
GBPCAD = Sell
GBPNZD = Sell
NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of...
PENFAR SECURITY LIMITED
Penfar Security is a limited company incorporated in Tanzania with a reputation for professionalism, devotion to duty and commitment to our industry. At Penfar Security...
Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitabu... Sijui ni kukosa uelewa wa umuhimu wa vitabu au kukosa muda,uwezo wa kifedha na sababu kemkem tulizonazo.Nas alishawahi kusema katika wimbo wake wa I...
Wapendwa salama!
FEDE burudani inakuletea December to January special offer, kwa huduma ya MUSIC & MC kwa Tsh 490,000/= tu kwa tukio nzima kati ya haya;-
Harusi, kitchen party, send off...
Habari za kazi wakuu,natafuta mtaalamu wa greenhouse. Ninajiandaa na project endelevu ya kilimo kwa greenhouse ninachohitaji ni mtaalam ushauri elekezi ambaye tunaweza kufanya nae makubaliano...
Revenues hit 604bn/- against monthly 420bn/-
IPP media leads in exposing tax evaders
Finance minister Mustafa Mkulo (R) presents Overall Winner award in category of large taxpayers to NMB...
Monthly Technical Reviews on Gold and Silver (December 2015)
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bearish
The Thanksgiving effect did not take place last week, as Gold generally moved sideways...
Nimependa staili za hawa jamaa wa JUMIA, huwa unaweka order online na wanakufikishia mpaka ulipo na utalipa hela ya bidhaa baada ya mzigo kufika mkononi mwako, hawa ndio JUMIA kwakweli huduma zao...
Wakati hali ya biashara maeneo ya kariakoo imeingia kwenye mgogoro mkubwa ...imedhibitika kuwa chanzo ni kusitishwa shughuli za zile kampuni ya "baba,mama na mtoto"....kampuni hizo zilikuwa...