Nawatakieni Kila La Kheri Wana Jukwaa Kwa Ushauri,maelekezo Na Mambo Yote Katika Kipindi Chote Tulichokuwa Tukisubiri Matokeo Hatimaye Post Za Advance Sasa Naachia Ngaz Rasm Tutaonana Likizo...
Nimesikia fununu yamkuwa kuna majina ya wanafunzi waliokosea kuomba mkopo,inatakiwa waombe tena lakinini siyaoni kwenye web yao ambaye ameyaona msaada ayapost humu tuweze kujua nini tufanye
Ndugu zangu naomba msaada wenu. Kwa mtu mwenye diploma ya nursing na anazo minimum requirements yaani ana grade B na anataka kwenda bachelor ya nursing, je anaanzia NACTE before kuomba TCU au...
Wakuu kwanza nawatakia eid mubaraka ila cha pili nilikua naomba kujuzwa kama ndugu zetu walimu baada ya matokeo yao kuna habar zimezagaa kuwa wanapelekwa jkt,je kuna ukweli wowote tafadhali naomba...
wasanii na watangazaji waiingilia kati kuhimiza serikali iweze kuwasaidia wanafunzi hao matatizo yao yatatuliwe ijiwepo lile la kuhamishwa kupelekwa vyuo vingine
Nimeipata hii kwa mdau ambaye...
Wanajukwaa naomba mwenye contacts za karatu sekondari anipatie, kuna mdogo wangu amepangiwa hapo kujiunga kidato cha tano lakini hajapa form ya join instruction.Nikipata contacts za headmaster au...
habari za saa hizi wana javi. naomba maelekezo yenu kwa wale wenye uzoefu humu. Nimemaliza chuo 2012 na nikapangwa kazini 2013 wilaya ya Rungwe. sikuweza kuripoti kwa sababu ya matatizo. mwaka...
Example of Hypothesis title; Wanafunzi wanaosoma usiku wana faulu zaidi mitihani yao kuliko wanafunzi wanaosoma mchana, nitakuwa na (Null Hypothesis (Ho) (P<0.001, P<0.01,P<0.05)) na (Alternative...
Wanajukwaa naomba mwenye contacts za kibondo sekondari anipatie, kuna mdogo wangu amepangiwa hapo kujiunga kidato cha tano. Nikipata contacts za headmaster au mwalimu yeyote wa hapo ntashukuru sana.
Matokeo ya Kidato cha Sita yametangazwa mtandaoni rasmi na Baraza la Mitihani nchini almaarufu kama NECTA. Kuyaona matokeo hayo ingia hapa:NECTA | View News...
Habari Wana Jamnvi;
Msaada Kwa Kozi Bora Za Kusoma Kwa Mchepuo Wa Pcb Kwa Matokeo Yafuatayo.Physics D,chem C,bio C.
Nahitaji Mawazo Yenu Kuni Natarajia Ku Aply Mwaka Huu Na Nime Itim Mwaka 1014
Wakuu,
Kwanza naomba msamaha kwa kuweka uzi huu katika jukwaa lisilohusika. Samahani sana.
Pili naomba kusaidiwa maeneo inapopatikana shule ya sekondari ya Mt. Crispin (St, Crispin's Secondary...
Wasalaam wakuu!
Binafsi nimeona tushirikishane kimawazo katika kulizungumzia hili jambo muhimu sana katika elimu yetu nchini!
Nimejaribu kutafakari sana kuhusu suala la zinazoitwa shule za...
Heshima kwenu wakuu wote wa humu.
Niwaletee habari mpya kwa wale wenzangu na mimi walioomba kusitisha nafasi zao na kutuma maombi ya kuomba upya vyuo kwa mwaka wa masomo 2015/16
TCU wameachia...
Habar wadau...yeyote mwenye uzoefu au amefaidika na masters scholarship zinazotolewa na serikali ya Norway. .naomba mtupatie intro na mengi unayohisi yanaweza kutusaidia...nimecheki ktk mitandao...