Kwanza habari ndugu zangu, mie napata shida kujua postgraduate diploma ni kitu gani na sifa zake ili uweze kusoma ni nini? Maana bado sijaelewa vizuri hapo mwenye ufahamu anisaidie
Ukiangalia matokeo ya form VI toka BRN ianzishwe yamekuwa yakipanda mwaka hadi mwaka. Mimi binafsi huwa najiuliza ni nini kinacho boost matokeo yao ikiwa walimu morali yao ya kufanya kazi iko vile...
Suala la Wanafunzi wa Kampala lachukua sura nyingine baada ya Wanafunzi zaidi ya 400 wa Chuo kikuu cha Kampala katika kozi za afya kuandamana mpaka Wizara ya Elimu baada ya kutoridhishwa na majibu...
Habari zenu wana JF!!!!!
Kuna mdogo wangu kapangwa Songe sekondari kuendelea na kidato cha tano sasa tatizo sijui hii shule ilipo pia ubora wake!!!!
kwa wale wanaoifahamu shule hii naombeni...
Habari,
Napenda kuzipa pole shule zifuatazo kwa matokeo mabovu ya kidato cha sita, kwanza kabisa META sekondari Ya Mbeya, Kwiru ya Morogoro, Mtwara tech ya Mtwara, Iwalanje ya Mbeya, Lugoba ya...
Ndugu zangu,salaam.
Naomba mtu mwenye admission letter ya UDSM (for postgraduates studies-course yoyote) ya mwak juzi au mwaka jana au mwaka huu anisaidie/anitumie tafadhari,nina shida nayo...
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
KUSOGEZWA MBELE KWA TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo...
Ndugu wana jamvi
Itakumbukwa tunatofautiana sana kielimu kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita
1. Mabadiliko ya mitaala imewafanya vijana wengi kuwa na upeo tofauti, viongozi...
Hivi nikweli matokeo hayatoki kwa mwanafunzi ambaye mathalani alifanya mitihani yote ya chem& A.maths lakini ktk phys akawa hakuweza kufanya practical tu' kutokana na ugonjwa wakati anamalizia...
Habari ndugu zangu.
Shukrani za dhati ziwaendee wale wotewanaofakisha jukwaa hili la Elimu katika nyanja zote ndani ya JF ila ningependa msaadazaidi utolewe pia kwa Elimu ya upili wa juu ili...
Nilipomaliza kidato cha nne nikajaribu maisha yakawa magumu nikaona bora nirudi shule labda hali ingebadilika hivyo nikajiunga na high school baada ya kumaliza nikarudi kitaa kutafuta maisha...
Jamani natumaini mu wazima wa afya;Naombeni ushauri katika hili....
Kwa sasa Mimi ni mwalimu mpya nimeajiriwa katika halmashauri ya Ikungi Singida mwaka huu..(japo ni mwezi wa 3 sasa sijalipwa...
Karibia wk sasa,ninilipa hela kwa ajjil ya appl za nacte kwa mpesa,voda wakaniletea msg kuwa imedhibitishwa imetumwa nacte,lkn nacte mpaka sasa hawajanitumia username na password,wakat...