Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

wadau naomba kujuzwa hv baada ya kukamilisha programe selection kwenye application kuna sehemu ya kusave au kusabmit make nmetumia cm yangu lakin sioni chchote badala ya print na je nkitaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mtu wangu alihitimu kidato cha 4 mwaka 2008 akipata ufaulu wa div.4 ya point 26 na alipata credit 4 ya,Civics B,English C,Kiswahili C na Geography C na the rest yote ni F. Kwa bahati nzuri...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
  • Closed
*Form six wa 2015 waliita form two bila kuchujwa hali iliyo pelekea matokeo yao kuwa mabaya na kurudiwa kusahihishwa. *Form six wa 2015 wengi wao walipita form four baada ya matokeo yao kurudiwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wanajf naomba mwenye kujua hili anieleweshe ni hivi: Nina mdogo wangu amepanga kuunganisha kusoma degree mwaka huu,yeye amemaliza diploma mwezi wa saba matokeo yao yanategemea kutoka...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu hamna 2nd selection mwaka huu? Na wale wenye pass jaman serikali imeamua kuwatelekeza?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu,nimepata neema ya kupita ktk shule ya Mwenge leo ambayo ilikuwa na sifa kedekede miaka ya nyuma pamoja na heshima ktk huu mji mdogo wa Singida.Lengo kuu ni kujidhirisha na mazingira ya elimu...
0 Reactions
41 Replies
18K Views
Napenda kujua ni Chuo gani wanatoa master ya Enviromental disaster and Management. Nisaidieni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wakuu bado tu haijatoka
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau Nina diploma ya ualimu (physics&chemistry) fresh from college,naombeni ushauri wa kozi gani za sayansi degree naweza soma kwa kutumia diploma hii tofauti na ualimu.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari! Naombeni Msaada kama kuna Mwenye format ya somo la History na Civics ya namna ilivyo takiwa kujibu maswali ya NECTA mwaka 2014,anisaidie ile format inayoonesha percentage ya topic Fulani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadogo zangu ambao mko vyuo vikuu na taasisi za juu za elimu nyinginezo, Unapoenda kufanya field mahali kuwa makini sana. Namaanisha nini? Wewe umeenda kwa watu wenzio wanakusoma matendo yako...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
wakubwa naomba mnisaidia mchakato wa kuhamia shule zenye combination ambayo ningependa kuxoma coz nimepelekwa art
0 Reactions
2 Replies
952 Views
wakuu habari za majukumu, samahani ninaomba mnifahamishe vyuo ambavyo vinatoa degree ya ICT/IT/COMPUTER SCIENCE/BUSSNESS IT au related course, kwa Dar es salaam. lakin iwe session ya jion{ EVENING...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamii ninachopenda kuwafahamisha ni kuwa, kwa wale wanafunzi waliopangiwa chuo na wakaandikiwa CPT, sio computer science wala engineering bali inaamanisha ni COLLEGE PLACEMENT TEST ambayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwema wadau mwenye mawasiliano ya lusanga secondary school iliyopo morogoro mvumero anisaidie nashida nazo,,asante sana
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Matokeo ya ualimu 2015 yatatoka lini? make kuna watu wanabishana pasipo kujua kuwa ni mapema mno kwa matokeo ya ualimu 2015 yatatoka lini? Maana kuna watu wanabishana pasipo kujua kuwa ni mapema mno.
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Wanafunzi zaidi ya 200 wa chuo cha Kampala wameandamana hadi ofisi za TCU wakitaka kujua hatma yao ya kielimu. Chanzo: ITV
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau ninaomba msaada wa kupatiwa website ya vyuo vizuri kwa elimu ya udaktari wa binadamu nchini INDIA. ie chuo kizuri.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa anaefahamu chochote kuhusu chuo cha mipango Dodoma Ada yake, faculty na mazingra anifahamishe
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…