Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habarini! Kuna mtu anaitwa annania samweli alisomea mbeya secondary school centre. Kuna sehemu alikisahau cheti chake cha o'level arusha. Naomba msaidie kurusha kwenye groups mbalimbali na fb ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wadau fomu ya kujiunga na kidato cha 5 same secondary aiweke hapa wakuu nijue utaratibu wa kule wazee.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau please mwenye fomu ya kujiunga na kidato cha tano shule ya secondary same aitupie hapa ili nijue gharama zake.
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Naulizia kwani matokeo ya uhamisho wa watumishi serikali kuu unatoka lini tujuzane kupitia 0717277949/0753884902
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Profile yangu ina majina ya FIDEL JOSEPH WILLIAM ambayo sio ya kwangu, nifanyeje ili niandike ya kwangu?
0 Reactions
0 Replies
676 Views
The heading is concerned wanajamvi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ndugu zangu wadau mlosoma mambwe secondary nawatafta tujadiriane hapa kwani chule yenu imebadilika sana na mabadiliko yenyewe ni hasi kwa maana wanafunzi wa shule yetu kwa sasa hawatambui umuhimu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta field practical training ya mechanical engineering mwaka wa kwanza
0 Reactions
3 Replies
915 Views
wakuu anaijua hio shule na jinsi ya kufika huko..ipo mkoa wa rukwa ila ndio hatujui hata pa kuanzia..dogo ana merit ya 3.3 na b+ zote za pcmb ila katupwa huko pcm
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF naombeni kujua kuhusu degree ya pharmacy na soko lake bongo hii na pia chuo kizuri cha kusomea..na je inaugumu gani, thanks in advance! Bachelor's Degree in Pharmacy Students in these...
0 Reactions
40 Replies
16K Views
Habari zenu ndugu. Naombeni kwa anajua chuo chochote kizuri na kilichosajiliwa cha ualimu anielekeze. Nina ndugu yangu amemaliza form 4 mwaka jana kapata 4 ya 39,ana C moja,D moja na E...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
kunatetesi kuwa raisi kikwete ataondoka madarakani kapunguza tatizo la walimu, je ataajili walimu wengine tena mwaka huu ,mchango wenu wadau.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba mniambie mkopo wa MD kwa vyuo vya private kama st Francis, Kampala etc unapata wote i mean unaweza kulipa ada kidogo kama govt
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Join our CISA Classes today for the December 2015 Examination and enhance your career today. Registration is now open for our review classes scheduled to begin on the 1st of July 2015. Contact us...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Jamani! Nina shida ya join instruction ya Masechu High School na Ifunda Tech School. Kwa mwenye nayo naomba anisaidie thanks wakuu!
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kuna ndugu amepata C masomo yote isipokuwa physics D na Civics E; hapo anaweza kusoma combination ya PCM NITANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI!! :shock::poa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kuuliza chuo gani kinatoa diploma nzuri ya uhasibu na namna ya kuapply chuo hicho
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Mimi ni mwanafunzi niliye malza form four mwaka jana ila sijafanikiwa kupangiwa shule japo kuwa combination ime balance nilikuwa nasoma science na nmepanga niende chuo biashara, Je inawezekana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta shule ya private ya aina yoyote ile yenye ada chini ya mil.1 iwepo dar maeneo yoyote yale,iwe inafundisha comb 'cbg&egm',anaeijua anijulishe zaidi ilipo na ada ni shilingi ngapi
0 Reactions
0 Replies
996 Views
TANGAZO: CHADEMA STUDENT ORGANIZATION (CHASO-Ifakara). Tunayofuraha kubwa kuwakaribisha wote wenye mapenzi mema,bila kujali itikadi zetu katika mahafali ya kuwaaga ndugu zetu wa CHASO-Ifakara...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…