Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ningependa kufahamu lini watu wanaanza ku apply kwa ajili ya chuo level ya bachelor degree
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani hivi kama unataka kubadili shule, Je, ni kitengo gani cha wizara ya elimu kinacho husika? Na kipo maeneo gani hapa DAR ES SALAAM.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natanguliza salaam! Ndugu wana janvi naomba msaada wenu kwa hili! NIMEPANGIWA NYANDUGA HGL combination. Je naweza kuripoti kisha nibadiri comb ili nisome PCB na kama haiwezekani naweza kuhama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
the most beneficial Methods to Discover Language In a Non-English Land Even in places by which English just isn't the primary terminology, it is very important find out English for assorted...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
tarehe ya kufanya mtihani wa mwisho wa kumaliza clinical ass/officer msaada please
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Tarehe 30/6/2015 ilikuwa ndio mwisho wa kukabidhi maabara baada ya muda kubadilishwa zaidi ya mara 1, kwa visingizio kibao. Kiukweli lengo lilikuwa zuri pamoja na kupitia ujenzi huu kuna watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wanaJF. Naoma nielezee histori fupi ya hiki chuo. Baada ya kuona kuna chuo kikuu kimoja tu,Mwalimu alitoa wazo la kujengwa kingine. Wapambe wakaanza kumshauri Mwalimu mkoa ambapo chuo icho...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
  • Closed
HEY pipooooooooooooooooo hope mpo poa sana!!!!!! hii ni kukumbushana maisha tuliyoyapitia tulipokuwa Kanta!!! unakumbuka nini!!!mambo ya chanjii, O.G, Kidedi, mandevuniiiii , Mwal Chijua etc to...
1 Reactions
61 Replies
14K Views
Ndg, Tumeona Wanafunz Wng Ambao Wamepangwa Comb Siyo Na Baadh Yao Kupelekwa Shule Za Jinsia Tofauti! Nin Maon Yako Au Unahis Serikar Itawasaidiaje Hawa Wanafunz Kwasabab Zimebak Wiki Mbil Tu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafadhali wakuu kwa anefahamu shule ya advance comb ya CBG ya boarding ya ada chini ya milioni 2 kwani mdogo wangu anataka kuendelea na advance ana ufaulu wa merit, katka masomo yake ana D 1 tu...
0 Reactions
33 Replies
13K Views
Serikali iko mbioni kuvifungia vyuo hvo kutokana na kukosa mitaara na wataalam wakufundisha vyuo hvo.....je mda wote TCU ilikuwa wap had watu wanaliwa pesa zao na inakuwaje tcu wanapeleka...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Inakuwaje mtu anachaguliwa HKL akiwa na A ya physics B+ ya biology na B+ ya Chemistry wakati huo huo ana D ya history. Pia Kuna wavulana wamepelekwa shule za girls. Kwa ujumla hizi selection...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Akiongea na vyombo vya habari mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa wanafunzi wanaosona ktk chuo kikuu kishiriki cha kimataifa cha Kampala bwana Jumma Mwaipopo amesema; Wamachoka kuzungushiwa watoto...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Shule inatangaza nafasi za kujiunga kidato cha 5 na kuhamia kidato cha 6; mwaka 2015/16; Shule ni mchanganyiko Kutwa na bweni IPO mbeya MJINI Michepuo: HGE,HGL,HGK,HKL &EGM ADA nafuu Sifa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari zenu wanajukwaa wenzangu, Nawezaje kurejesha transaction code ya M-MPESA kwa ajili ya tcu, baada ya kupoteza simu kabla sijaitumia?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Swali 1. Mwendo kasi wa gari ni km 24 kwa saa. Liliondoka kituo x saa 2030 na kufika kituo y saa 0115. Nini umbali kati ya vituo hivyo?
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Nimehitimu kidato cha NNE na nine faulu vizuru masomo ya sayansi focus yangu ni kusoma C.O lakin sijui jinsi kujiunga na hiyo koz plz wana janvi naombeni msada wenu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kati ya nyakati za huzuni kwa wadogo wetu na wazazi wao ni muda huu ambapo wamesubiri sana kwa muda mrefu hizi post kwa hamu kubwa lakini sasa ni majonzi kwani wengi wao walitaraji kupata hizo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…