Nimenyimwa clearense letter ? Je nifanyeje ili tcu waniruhusu niombe admission kwa mara ya pl?Au nikionana nao direct watanisikisiliza na kunitatulia shida hii.
Habari zenu Education Forum,
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia notes za anatomy of the hand;
HINTS:
-Carpal bones
-skin of the palm
-Deep fascial of the palm
-Palmar aponeurosis...
Wadau...
Nimepata taarifa kuwa chuo cha Uuguzi cha Mwananchi kilichopo Jijini Mwanza Kimepandisha ada ghafla kwa wanafunzi wake.
Mwenye taarifa sahihi na za uhakika tujulishane maana nina mpango...
Wanabodi,
Chuo cha Usafirishaji nchini, NIT, kimepewa changamoto ya kuukabili upungufu mkubwa wa watalaamu waliobobea kwenye taaluma ya uchukuzi na usafirishaji ili pato la sekta hiyo...