habar wana jf,juz nililipa pesa kwa mpesa leo ndo nikapata msg kutoka tcu,cha ajabu nimefanya self registration vizr nikaweza kulogin lkn nikiclick personal information inatiki kwenye set secret...
Jamani nimemaliza Form IV mwaka 2013 nimepata Division 1 ya 15, nilianza A - Level Moshi Technical PCB mwaka jana July, ila ilipofika October niliumwa nikashindwa kuendelea.
Mwaka huu nataka ni...
habar ya kazi wakubwa! ninaomba msaada wa kupata kitabu cha kufundishia mbwa wangu. maana nimeenda polisi kitengo cha mbwa bei ninayoambiwa nimechanganyikiwa. wananiambia laki tatu kwa miezi...
Wasalaam si kama nina pinga elimu la hasha!
Lakini kwa upande wangu sioni sababu ya kwenda Chuo Kikuu ''haraka'' mara tu umalizapo kidato cha sita.
Watu wengi huenda kwa kuiga bila kuwa na mpango...
TANGAZO:
YAHUSU UPATIKANAJI WA FEDHA ZA MAFUNZO KWA VITENDO (FIELD)
Ndugu WanaUDSM, Serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(DARUSO) kupitia Wizara ya Mikopo imefatilia kwa...
Nimejikuta nachanganyika sana na jamii ya wasomi kuanzia kanisani, kwenye familia, kwenye mitandao mathalani JF, karibuni kila mtu ni graduate wakati mimi nimesoma tu elimu ya msingi na ufundi...
Wadau kwa muda wa wiki sasa toka nitume maombi ya chuo kikuu.
Mwanzoni walinitumia vocha na nimejisajili vizuri lakin baadh ya procedures sijamaliza, nimeishia kwenye set secret.
Lakini toka...
Msaada wa kimawazo wakuu!
Mimi nilikua mwanafunzi wa chuo kikuu lakini kutokana na sababu mbalimbali nilishindwa kuendelea na masomo hivyo ikanibidi niache kusoma. Juzi nikaanza mchakato mpya wa...
naombeni msaada wenu wa mawazo wakuu... kipindi nikiwa o level nilipenda xana kuja kusoma cbg nikiwa advance then nije kusoma cz ya pharmacy hapo baadae nikiw chuo cha kusikitisha baada ya post...
Ktk hatua za kufanya malipo ya maombia ya Mkopo HELSB kw M - Pesa,
kumbukumbu ya Malipo ni ipi?
Nimeambiwa ni 1 but kwa nn inagoma?
Au kuna shida gani?
Msaada tafadhali?
Undergraduate
Degree Programs(Fees are payed per credit)
-Agricultural
Business $419
per
credit
-Anthropology $419
per
credit
-Fire and
Emergency
Services
Administration $419
per...
Habari Wakuu,naomba Kujua Kwa Mtu Yeyote Anaejua Bodi Bnafsi Inayotoa Mikopo Kwa Elimu Ya Juu.Mimi Nipo Chuo Kikuu Mwaka Wa pili Hapa Tanzania Sikubahatika Kupata Mkopo Kutoka HESLB. asanten sana
Jamani Mimi nliahirisha masomo mwaka Jana nlipangiwa education UDOM.
Ila sikufanya usajili wowote chuoni hapo baada ya wao kunambia nafasi za kozi za afya watu wameshafanya transfer wametosha...
Mm ni kijana ambaye npo chuo certificate semister 2 kozi ya uhasibu wakati npo semister 1 nilikua nasoma masomo 5 ambayo ni math,acc,business eng,office n computer ila kwa bahati nzuri niliperform...
Habari wakuu?!
Nahitaji shule ya Primary iwe English medium.
Pia nahitaji iliyopo maeneo ya Mbagala au karibu na huko. Mwenye naomba msaada hata wa jina na eneo.
Natanguliza shukrani!!
Habarin wana JF,
Nauliza kwa wale tuliozuiliwa kuomba chuo TCU kisa tulipata chuo miaka ya nyuma, wanataka tuandike barua na tuambatanishe confirmation letter, nauliza kwa walioomba Je hii barua...
Naomba kufahamu tofauti kati ya Diploma na Ordinary Diploma!
Je! Alafu mwenye Ordinary Diploma anaweza kuendelea na Chuo kikuu through ''direct entry''?
Ni hilo tu wadau, msaada wenu plz!