Habari wakuu,.!
Naomba kujua ada ya shule ya makongo kwa kidato cha sita mchepuo wa art. Mwenye kufahamu naomba anijuze ada ya bweni na shule maana najaribu kuangalia kwenye website yao naona...
Habari wanajukwaa nadhani muwazima , kwa uzoefu nilionao hapa chuo wanafunzi wasiokua na boom huwa wanaishi maisha magumu Sana hiyo ni kawaida kwa mtanzania halisi ,kama umesoma arts,Kama umefaulu...
Kama unataka kuelimika na uweze kuuza au kununua online, unaalikwa ukajifunze bure kwenye tovuti maalumu ya kwa elimu hiyo bonyeza tu hapa>>>>http://www.kalumbilo.co.tz/fahamu
Plz kwa jina naitwa Edwin Daniel,ninajitokeza mbele yenu kuomba msaada kwani cna sehemu nyingine ya kutegemea..Mimi ni mtoto wa 6 na wa mwisho katika familia yangu na kwa bahati mbaya ndugu zangu...
NAOMBA urafiki na mtu ALIYE somea fani ya oil and gas management Kwa sasa mm bado niko chuo nafanya master ndo naingia mwaka wa 2 Niko nje ya nchi.. Naitaji RAFIKI ALIYE kwenye fani hiyo.. Send
Me...
mambo vipi watu wangu
nimemaliza kidato cha sita mwaka huu ila nili reseat mthiani kupata credit moja je nina sifa za kupata mkopo??
katika kujaza index number ya form 4 ntajaza hipi kati ya...
habar wakuu ni Jana tu chuo cha elimu ya biashara(CBE) campus ya Dodoma kilifanya uchaguz mkuu wa kumpata rais hatimaye ndug. Shughaib Abdi akashinda kinyang`anyiro hicho.sasa vita imehamia kwa...
Habarini Wadau
Ninaomba kuelekezwa kama kuna uwezekano wa kutengeneza cheti kimoja cha Mwanafunzi aliyerisit mitihani yake(baadhi) na kupata cheti kingine (cha pili baada ya kile cha mwanzoni...
Habari ya muda huu wana JF,
kuna mwalimu yuko TANGA JIJI anatafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi awe anatoka IRINGA MANISPAA, idara ya sekondari_______amethibitishwa kazini kama...
Brief description: The Norwegian Government offer scholarship funds for the Quota Scholarship scheme for Bachelors, Masters and PhD Students from Developing Countries at universities and...
Habari za kazi na poleni kwa majukukumu wanajukwaa
Naomba nianze na historia fupi ya tatizo lilipoanzia…….
Mimi nlikua mwanafunzi wa udsm tokea 2011-2014 B.A with education ,political...
Wakuu,heshima yenu kwanza!
Pili naomba kuuliza ili kufundisha vyuoni(Universities,Institutes,Colleges) katika level mbalimbali(degree,diploma,certificate) Inampasa mfundishaji awe na ufaulu wa...
Nasikia kuna chuo cha ualimu kimeanzishwa na wazungu huko Mamire - Manyara kinaitwa Mamire TTC. Kwa wanaofahamu chuo hicho kinafundisha mitaala ya Tanzania au nje? Zipi ni sifa za kujiunga? Naomba...