wadau kuna ndugu yangu amepoteza vyote vyote viwili vya form four(2002) na form six(2006) na alikua na mpango wa kuomba chuo mwaka huu,vp afanye nini maana amechanganyikiwa?na ukiripoti chuo...
WAKUU HABARINI
Nahitaji kusoma Masters ya ICT chuo kikuu huria, OUT, mwenye ufahamu ni jinsi gani natakiwa kuenenda, yaani wanadahili lini, gharama za kozi, muda gani ntachua kumaliza na mambo...
Nimepangwa hii wilaya kikazi na serikali ni mgeni na sijui chochote kama mjuavyo hakuna kurudi nyuma.naomba kujulishwa kuhusu huduma za jamii katika eneo husika na mmoja mbili tatu za wanajamii...
Habari wakuu
Nasikia kuna course za diploma udom ambazo unapata na MKOPO kwa walio soma masomo ya science course hizo ni zipi na SIFA za kujiunga na course hizo ni zipi
asanteni
habarini wanajamvi nimesikia tetesi kwamba wanaoenda jeshi kwa mujibu wa sheria baada ya mafunzo hupewa fursa ya ku apply moja kwa moja kwa wanaopenda.,naomba kujuzwa kwa anaefahamu natanguliza...
Kumekuwa na uvumi kwamba mfumo wa zamani umerudishwa..huu ni ule wa kumwajili mwalimu aliye pata sup katika mtihani wake wa mwisho kisha ata sapua akiwa kazini.inahusisha walimu ngazi ya diploma...
Naomba waalimu wenzang tuwe mstar wa mbele katka kuhakikisha kuwa tunalikomboa taifa letu kwenye mikono ya wachache wanaojiona wao ndo wamepata elm bora kwa kutoa kile tulichopatiwa vyuon na jkt...
Mimi ni mwalimu(idara ya sekondari),napenda kubadilishana na mtu aliye sehemu yoyote katika mikoa ya SHINYANGA au MWANZA aje MARA-MUSOMA DC(MAJITA),aliye tayari ani pm kabla ya uhamisho wa June.
Inasikitisha sana tunapopewa fomu za afya alafu ukienda zahanati unatakiwa kulipia elfu 8000 then hakuna kipimo unachofanyiwa na unagongewa muhuri ile fomu tu,
Tunaomba serikali iangalie hili...
Ni wiki mbili sasa tangu kutulia kwa mgomo uliokuwa ukiendelea kati ya wanafunzi na chuo kufuatia kutokuwapo na usajili wa kozi za afya ktk bodi mbalimbali za wataalamu ikiwemo dodi ya...