Jamani naomba msaada kwa anayejua hili, ninahitaji kutumiwa cheti changu kutoka UDSMnaomba ushauri nifanyeje na niko mkoa wa mara. Kama kuna mtu anaufahamu anisaidie namna ya kufanya au...
1. Usafiri wa kwenda shuleni na kurudi nyumbani jioni bado ni kero kwa wanafunzi wengi. Hadi saa 4 asubuhi bado baadhi ya wanafunzi wanakuwa wanasubiri usafiri vituo mbalimbali vya mabasi jijini...
Habari wadau,nina mpango wa kusomea masuala ya muziki hasa kupiga vyombo na kuimba/kuoperate vifaa vya muziki.
Je,kabla ya kufanya maamuzi rasmi,nimewiwa kuwashirikisha wapendwa wangu ili...
Natumai kozi zinajieleza zenyewe, shida yangu kubwa hapa mi kufahamu utofauti wa kozi hizo mbili hasa katika value na mambo mengine kwani nataraji kusoma moja wapo hivyo ni vyema nikapata...
Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo biharamulo mjini nahitaji mwalimu wa sekondari aliyepangiwa dodoma anayehitaji kuhamia biharamulo tubadilishane kituo cha kazi kwani mimi nahitaji kuhamia...
OWM-TAMISEMI kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imeandaa mafunzo kwa Walimu wa Shule za Msingi kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kufundisha Mtaala mpya wa Elimu ya Msingi Darasa...
Jamani, wale wataalam wa afya kama Dental Therapists na Clinical Officers wanataka kusoma ADO au AMO mwaka huu wasibweteke kuomba shule Kusoma ADVANCED DIPLOMA.
Application zote zipo kupitia...
After decades of talks on climate change and resource depletion, little has changed. Political leaders seem to be going in circles, and protest culture lacks a blueprint for the future. In 2015...
Hayo yalikuwa maelezo ya afisa elimu mmoja aliyekuja ofisni kwetu akimwelezea mwalimu aliyekuwa kaja ofisi kwetu kufatilia masuala ya mshahara wake kisha alipomwona afisa yule akaanza kumwomba...
Nimekutana na vijana wa kenya wakiwa katika mazungumzo ya kawaida lakini katika mazungumzo hayo nikashitushwa na kauli zao kua, kiswahili asili yake ni kenya eti kwa sababu wao ndio wanaongoza...
He is suggesting that in order to improve English language proficiency and confidence of the majority of graduates the medium of instruction in public primary school should be in English (follow...
Habar wakuu
Jana nimetizama taarifa ya habari huko babati shule ya awali wanafunzi wanafundishwa na mwalimu ambae hajawai soma darasa lolote sasa haya ni maajabu
Pili shule ina uhaba wa vifaa...
Habari zenu ndg zangu,
naitwa Mwl. MUSA natafuta mwalimu wa kubadilishana naye eneo la kazi yeye aje ikwiriri sekondari iliyopo hamlashauri ya wilaya ya rufiji mkoa wa pwani mimi niende mwanza...