Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wana JF... Naombeni maoni na ushauri wenu. Mdogo wangu anahitaji kusoma, katika chaguzi alizofikia ni kusoma cheti, land management and evaluation. Kwa wale wanaoifahamu hii kozi vizuri...
0 Reactions
5 Replies
46K Views
Jamani naomba kujuzwa kuwa kiwango cha mishahara kwa Walimu wapya ngazi mbali mbali ikoje?
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Habari wanna jf Naomba msaada kwa anaejua ivi vigezo vya kujiunga na chuo cha ualimu Ngazi ya cheti ama diploma vipi? Maana kuan Chuo cha ualimu singida kinatangaza kwenye radio Maria wanatoa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Eti wana JF hivi selection za form five lazima wakuchagulie miongoni mwa shule ulizojaza au unaweza kuchaguliwa hata shule tofauti kabisa na chaguzi zako?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka jana PCB nilipata point 11 nilipata CHEM-B.BIOS-B.PHYZ-D.BAM-B ninataka nifanye aplction kuomba MD katika hiki chuo naomba mwenye ufahamu anijuze vip...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari jf,naomba mnisaidie menu ya zantel university offers.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wale wote waliosoma mwakaleli sec tukuyu mbeya tujuane wakubwa . Mimi ni wa mwaka 2005-2007 advance. Naikumbuka mitaa/vijj vya kandete,mpombo,matamba nk. Walimu MF ngui hm(r.i.p) ,cleopa,maison...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kitunga Jacob ndiye Rais wa awamu yanane kwa serikali ya wanafunzi sekomu (sekomu-so)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
enyi wana jamv kuna kajambo fulan kananitatiza mwenzenu mpaka nakosa raha yaan hapa maskan kuna mdogo wang kasoma psychology na somo moja la kifundishia la kiswahili pale TEKU na je kwenye ajira...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari, Naombeni kujuzwa kwa anayejua kama kuna uwezekano wa kujiunga chuo bila kuwa na cheti cha form four, na kama ipo ni vyuo gani vinavyotoa huduma hiyo?, manake nimeskia tetesi kuwa Kuna...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Jaman magreat thinkers ninaombeni msaada wenu. Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati mbaya nimepata 4 ya 32 na inanipasa kwenda chuo sio form 5. Je ni kozi gani itakayo kua na ajira...
1 Reactions
67 Replies
17K Views
ipi kati ya hzo inamaslah mazuri serikalini na rahisi kujiajili natanguliza shukran
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habr zenu wote wana turiani ,nawakaribisha wote tujadili kuhusu yanayoendelea hapo turiani.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wapendwa wana jamvi, Naomba msaada kwa yeyote anayeifahamu Bwawani sekondari, mazingira yake ya Bweni, upatikanaji wa maji, sheria za shule. Najua matokeo yake ni average, lakini mengine...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Waalimu wote wa nchi hii ya tanganyika hii inawahusu. CWT au chama cha waalimu Tanzania kwa muda sasa kimekuwa chama cha kinyonyaji kwa kisingizio cha kutetea haki za waalimu kitu ambacho sio...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Nafikiri hiki kitakuwa ni kitu kipwa kwa wengi ambao bado hawafika bodi hiyo kujua "LOAN STATUS" ya mikopo yao.Kuna kitu kinaitwa "PENALTY" na kingine kinaitwa "VALUE RETANTION FEE". Kwa wale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani habar za saa hizi? ningependa kufahamishwa kuhusu fursa na uzuri wa hii course kwa sabab watu wengi wanasema ni nzuri na pia ningependa kujua ukimaliza masomo je una uwezo wa kujiajiri?
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Wakuu vigezo ninavyo hivyo nataka niaply kozi ya clinical officer pale kibaha kinachomilikiwa na serikali. Clinical officer training center Kibaha Je VIP fees yake .Nawasilisha
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Aje mkoa wa MOROGORO wilaya ya Ulanga/Mahenge. mimi nije mkoa wa KIGOMA katika wilaya ya Uvinza/kasulu/kigoma vijijini/buhigwe. Idara ya sekondari. kwa mawasiliano zaidi piga 0763855020/0784390095
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Please kama kuna mwalimu wa dodoma anayehitaji tubadilishane kituo cha kazi tuwasiliane kwa namba hii 0713-345352 mimi nipo kasulu kigoma.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…