Habari wakuu!
Naomba kuuliza kuhusu swala la mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, Mimi namaliza masomo ya kidato cha sita mwaka huu lakini mtihani nafanya mwakani je nifate utaratibu gani ili...
Hivi, TCU wanafungua lini CAS for undergraduates? Mwaka jana nili-apply nikachaguliwa but nikakosa mkopo nikaamua kukaa home, nataka nirudie tena ku-apply mwaka huu.
The East African Community Secretariat has organized the EAC students essay writing competition year 2014. The Essay writing competition is intended to broaden knowledge of the school going...
Habari wadau,
Naomba mnipe msaada wa maelezo tafadhali, utaratibu wa wanaoomba nafasi za vyuo vya ualimu vya serikali (ngazi ya certificate) kwa mwaka huu;
1. Applications zinaanza kupokelewa...
Mdogo wangu amemaliza form iv anataka akasomee ualimu vyuo vya serikali.... nauliza je ibado anayo nafasi ya kuapply au deadline imeshapita?
Asanteni sana
hatimaye serikali umevunja mabishano ambayo yamekuwakero kwa baadhi ya wanachuo, especially wanafunzi ambao hawajitambui kwa kuishia kusema kuwa UDSM NI BORA, mbona ajira ya mwaka huu wanafunzi...
Naomba msaada utaratibu upi nifanye ili kuhama chuo mwezi wa kumi ? Kwa anaejua tafadhari .
Najifadhili mwenyewe sasa naona ada ni ndefu nataka chuo chenye ada ya wastani .
Wapendawa nimepata sponsor wa kunisomesha na nipo mbali na hicho chuo kwahiyo naomba nitumiwe FEE STRUCTURE YA POSTGRADUATE YA MUHAS natumaini mtanisaidia
Hivi inawezekana kwenda kusoma Gynacology Kwa mtu aliemaliza degree ya Nursing au BSN Midwifery kama advance ulichukua mchepuo wa PCB?
Nimefocus sana Marekani but hata nchi nyingine poa tu !!Kama...
I'm a teacher..............
Behind that doctor,
Is me, a teacher...........
Behind that economist,
Is me, a teacher..........
Above those astronomers,Is me, a teacher..............
I carry...
Mwaka jana serikali iliajiri walimu 36,000 mwaka huu serikali inaajiri walimu 34,000 kati yao 10000 ni lab technician ambao kipindi cha nyuma walikuwa hawapo kwenye ajira za 36,000. my concern...
Naisifu shule ya secondari Baobab kwa kutoa mwanafunzi bora kabisa Tanzania. Usimamizi wa nidhamu na taaluma pamoja na michezo na lishe ya hali ya juu ni nguzo katika kufanikisha ushindi mkubwa wa...
0767662486
Nimejaribu kufukunyua GOOGLE nikapata kumjua huyu mtu japo kidogo.
Baraka D. Ninarwo inaonekana ni mwenyeji wa mkoa wa Iringa na kasomea huko.
O-level: Tumaini sec 2009
A-level...
Wajomba hivi huko halimashauri tutalipwa shilingi ngapi na kwa siku ngapi hiyo pesa ya kujikimu?
vile vile hivi tutachukua mda gani mpaka tuingiw kwenye pay row?